LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
kitendo cha kushabikia hamasi ndio vyanzo vya matatizo.lakin kama wangekuwa na msimamo wa kukipinga kikundi hiki tungesema wanaonewa.sasa shida wanafurahi hamasi wakiwapiga israel.baada ya hapo kipigo kinaanza kwao.
 
Attachments

  • 1699640424444.jpg
    1699640424444.jpg
    277.6 KB · Views: 5
Hello team JF
Naomba kuuliza , hivi vita Kati ya Hamas na Israel , ni nini wanagombania , miaka yote anzia naanza kuwa na akili Gaza , Palestine , West Bank na Israel wako kwenye ambush tuu , mwenye kujua historia hapo atujuze please.
Jamaa wanagombea mamlaka

Israel wanataka wahodhi eneo lote la Gaza na ukingo wa magharib liwe chini ya mamlaka yao na wakaz wa maeneo hayo ambao ndio wapalestina nao wanajaribu kujitetea
 
kaziii iendeleee pigaa gazaaa piga hamaas haoo fykelea mbalii mwenye taarif lo wangapi wamefyekwa mtujulishe
 
kaziii iendeleee pigaa gazaaa piga hamaas haoo fykelea mbalii mwenye taarif lo wangapi wamefyekwa mtujulishe
What goes Around comes Around.

Unachokishangilia kitakuja kwako pia ili na wewe upate huzuni. Hata kama hakitakuja kwa njia ya Vita ila nature itagusa unaowapenda iwe familia nk. Cha msingi na wewe upitie machungu kama hao unaofurahia kuteseka kwao.

Otherwise Ungama kwa huu ujinga unaoufanya MAANA NI MUNGU PEKEE ANAYEJUA NI UPANDE UPI WENYE HAKI
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Watu mliona mbali aisee
 
Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
 
Kwa hiyo Hamas kuwachinja waisraeli ndio ubinadamu?
 
Uliwahi kuwakemea Hamas kwa mashambulizi yao dhidi ya Israel?

Kama hukukumbuka hilo, basi leo vumilia tu.
 
Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Nini tena?Kuna watu wanatandikwa mijeledi?Kwa nini na wao wasirushe mafataki...ooh sorry!Warushe maroketi wasikubali mayahudi kuwaonea.Tufumbe macho tuwaombee dua njema ndugu zetu katika imani, Hamas!🤔🙏
 
Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
wala sio unyama, kwasababu hadi sasaivi Hamas wameshikilia mateka na hawataki kuwaachia na israel anajaribu kuwaokoa watu wake, pia, hamas ndio alianzisha vita na kuua na bado anarusha roketi sasaivi kwenda kwenye makazi ya raia israel. chukua mfano Tanzania, kuna kikundi hapo Rwanda kinarusha roket kigoma, kimeteka wale waha na kuwaweka mateka rwanda, unawaambia rudisha mateka hawataki na wanadisi kurusha roketi na hata wanajeshi wako wanakufa, utanyamaza tu au utawafuate huko huko kwao uchukue mateka urusidhe nyumbani?

na, wakati wa mapigano, kama wamekaa kwenye hospitali na kurusha kombora wakijua wewe utaogopa kupiga hospitali, wakaendelea kukudhuru wakiweka raia kama shield na hospitali kama shield, utaiasha hospitali au utapiga?

Watu wajinga tu ndio wanasema israel asitishe vita. kwasababu tangu awali kabla hajaingia Gaza alitoa wito kwa raia kuondoka kwasababu kuna shughuli anataka kuifanya pale Gaza, kuna baadhi ya makamanda wa hamas walizuia raia na walikuwa wanauwa kabisa raia wanaotaka kuondoka, raia wakabaki, 1.1m waliondoka kwenda kusini. wale waliobaki walibaki kwa kiburi chao na wamekipata. bado hata kuanzia wiki iliyopita, israel inatoa masaa manne kila siku raia waondoke, wiki ijayo hopefully raia wote watakuwa wameondoka gaza. ni nchi gani duniani iliwahi kuingia vitani ikatoa nafasi raia waondoke kwanza? na wakasaidia msafara wa raia kuondoka kama israel alivyofanya? Laana ipo juu yako na haujui unachoongea.
 
Tuma picha ya kichwa chako kama sio kipilpil grade E .....alafu unatetea warabu wakati sudan janjaweed noted
 
Wewe acha k
Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Wewe acha kujifanya haujui kiini Cha huo ugomvi. Nyinyi Waislam mna agenda ya kuua Wayahudi wote Sahih Muslim Hadith 2922 na baada ya hapo mmeagizwa kuutawala dunia yote mkiwalazimisha dini nyingine zote kuwa Waislam ama sivyo mnawaua.
F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
F9zU4lrXUAEfLFd.jpeg
F9Ojc4VagAEb5Ef.png
 
West Bank hakuna Hamas, na miaka ya Nyuma pia hakukua na Hamas hilo halijasababisha Waisrael wasiue Palestina.
Wapo Hamas wewe. Kwani Hamas si ni ideology kama chama chochote so hata wewe unaweza kuwa hamas japo upo tandale kwa mfuga mbwa.
 
Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Haki ni uilaum kwanza Hamas kwa kuanzisha vita
 
Wapo Hamas wewe. Kwani Hamas si ni ideology kama chama chochote so hata wewe unaweza kuwa hamas japo upo tandale kwa mfuga mbwa.
Fatilia historia utaelewa, sasa hivi ndio wameanza anza kuwepo huko baada ya Mahmoud Abas kuwa puppet leader.

Hamas ni kikundi kilianzishwa na Israel kupambana na Yaser Arafat, Wapalestina especially West Bank walikiona kama Wasaliti, West Bank ipo Diverse zaidi hivyo Secular party kama Cha Yaser Arafat ndio kilikua kinakubalika.

Israel kaanza kupambana na Hamas hivi karibuni baada ya Yaser Arafat kufariki na wao kushindwa kuwa Control.
 
Back
Top Bottom