Sawasawa🙏Ndio ni tamaa ya madaraka .
Nimeona taarifa saudia na Jordan wamewapiga marufuku houthi kupitisha makombora na drone zao anga zao
Jamaa wanagombea mamlakaHello team JF
Naomba kuuliza , hivi vita Kati ya Hamas na Israel , ni nini wanagombania , miaka yote anzia naanza kuwa na akili Gaza , Palestine , West Bank na Israel wako kwenye ambush tuu , mwenye kujua historia hapo atujuze please.
What goes Around comes Around.kaziii iendeleee pigaa gazaaa piga hamaas haoo fykelea mbalii mwenye taarif lo wangapi wamefyekwa mtujulishe
Watu mliona mbali aiseeMuda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.
Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Hata Congo tu hapoTusimamie haki ya majiran zetu wa sudan. Hao weupe hatuna undugu nao hata kidogo
Kwa hiyo Hamas kuwachinja waisraeli ndio ubinadamu?Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Nini tena?Kuna watu wanatandikwa mijeledi?Kwa nini na wao wasirushe mafataki...ooh sorry!Warushe maroketi wasikubali mayahudi kuwaonea.Tufumbe macho tuwaombee dua njema ndugu zetu katika imani, Hamas!🤔🙏Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
wala sio unyama, kwasababu hadi sasaivi Hamas wameshikilia mateka na hawataki kuwaachia na israel anajaribu kuwaokoa watu wake, pia, hamas ndio alianzisha vita na kuua na bado anarusha roketi sasaivi kwenda kwenye makazi ya raia israel. chukua mfano Tanzania, kuna kikundi hapo Rwanda kinarusha roket kigoma, kimeteka wale waha na kuwaweka mateka rwanda, unawaambia rudisha mateka hawataki na wanadisi kurusha roketi na hata wanajeshi wako wanakufa, utanyamaza tu au utawafuate huko huko kwao uchukue mateka urusidhe nyumbani?Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Wewe acha kujifanya haujui kiini Cha huo ugomvi. Nyinyi Waislam mna agenda ya kuua Wayahudi wote Sahih Muslim Hadith 2922 na baada ya hapo mmeagizwa kuutawala dunia yote mkiwalazimisha dini nyingine zote kuwa Waislam ama sivyo mnawaua.Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Wapo Hamas wewe. Kwani Hamas si ni ideology kama chama chochote so hata wewe unaweza kuwa hamas japo upo tandale kwa mfuga mbwa.West Bank hakuna Hamas, na miaka ya Nyuma pia hakukua na Hamas hilo halijasababisha Waisrael wasiue Palestina.
Haki ni uilaum kwanza Hamas kwa kuanzisha vitaMashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu.
Ubinadamu kwanza
Tusimamie Haki
Fatilia historia utaelewa, sasa hivi ndio wameanza anza kuwepo huko baada ya Mahmoud Abas kuwa puppet leader.Wapo Hamas wewe. Kwani Hamas si ni ideology kama chama chochote so hata wewe unaweza kuwa hamas japo upo tandale kwa mfuga mbwa.