Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Wewe ndio unayepanga nani anaingia wapi? Alie muumba ndio anajua wapi anaenda.Halafu huyo huko Jahannam
Mbona siku hizi hautupi updates za vita ya Ukraine MK254 ?
Mkiristo na myahudi wakifa wakiwa bado hawajasilimu ni JahannamWewe ndio unayepanga nani anaingia wapi? Alie muumba ndio anajua wapi anaenda.
Subiri povu la Waarabu wa Uvinza
Wawawahi mabikira wao 70 sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji23]Israel imegoma kusitisha mapigo na ilishurutisha kila mtu anayependa maisha yake aondoke kwenye hospitali wabaki wafia dini wawahishwe kwa mabikira, watu wanaondoka kwa maelfu.............
HAMAS waliofanya hiyo hospitali kama makao makuu yao watapokea kipigo muda usio mrefu na inawezekana humo ndiko waliko mateka wakiwemo Watanzania wawili.
A Palestinian woman, who was injured in an Israeli strike and was staying at Al Shifa hospital, moves southward after fleeing north Gaza, Nov. 10, 2023.
People are fleeing Gaza's Al-Shifa hospital, sources confirmed to ABC News, in the wake of a strike on the exterior area of the hospital's outpatient clinic. One surgeon told ABC News "everyone" has fled, calling it a "nightmare."
The hospital has been treating thousands of wounded people and housing as many as 80,000 displaced residents, according to The Associated Press.
The Palestinian Red Crescent said occupation snipers fired on Gaza's Al-Quds Hospital, killing at least one and injuring at least 28.
Israel Defense Forces spokesman Richard Hecht said, "The IDF does not shoot at hospitals. If there are Hamas terrorists in the hospitals, the IDF will do what it needs to, but we are aware of the sensitivity. We tell Hamas to move the sick southward."
"Slowly we are closing in on them and taking every precaution not to harm the innocent," he said.
sisi wakristo wote tanzania na dunia nzima ni spiritual jews. Hivyo netanyahu ni active jews ambaye kwetu sisi ni home boy wetu kindakindaki. sasa lazima tuone uchungu wa kindugu ikiwa home boy kavamiwa na wahuni waitwao Hamas. wewe subilia tuu mapanya wakifichuiwa mahandakini amin amin nakuambia lazima utaandamana kutoka ilalal boma mpaka kigogo kwa mvuta bange.Yahudi mweusi wa Nzega naona hii mada imekuchoma kama Pasi,vipi una undugu na Natanyahu au shobo tu?
Mbona Mungu mtu wenu alikataliwa na wayahudi?sisi wakristo wote tanzania na dunia nzima ni spiritual jews. Hivyo netanyahu ni active jews ambaye kwetu sisi ni home boy wetu kindakindaki. sasa lazima tuone uchungu wa kindugu ikiwa home boy kavamiwa na wahuni waitwao Hamas. wewe subilia tuu mapanya wakifichuiwa mahandakini amin amin nakuambia lazima utaandamana kutoka ilalal boma mpaka kigogo kwa mvuta bange.
Kwa hiyo Ukraine walisharejesha yale maeneo yao yaliyokuwa yamechukuliwa na Russia?Kipigo kwa Urusi bado kiko pale pale ila nimewafuata wavaa makobaz maana walikimbia kuishabikia Urusi wamekuja kulilia magaidi ya dini yao, hivyo nahakikisha hawapumziki, makao makuu ya Urusi jana yamepigwa bomu Russian headquarters bombed in occupied Melitopol, Russian officers killed
Kwan kakufuata PM kwakoWatu tupo busy na maisha hamia israel
Umenenq vema. Shida hiyo jamii ya mudy ngumuImefikia mahala OIC iache kuweka dini mbele kuliko uhai wa wana Israeli.Hairuhusiwi katika sheria yeyote duniani kuua raia kwa makusudi kwa madai ya kulilia uhuru. Huu unyama lazima Netanyahu aukomeshe mara moja. Hamas kaua raia 1400, kachoma nyumba na kukata vichwa watoto na kuteka raia wasio na hatia 265 ili amjaze jazaba mwana Israeli. Israel inataka kukomboa raia zake lakini OIC members wanataka mapigano yasitishwe mara moja ila cha ajabu hao members hawataki kusema lolote kuhusu kuachiliwa mateka!
Huu mzozo unatambulisha kinagaubaga ni nani mwana shetani kindakindaki na ni nani mwana wa mungu hapa duniani. waarabu dunia nzima popote waishipo wanashabikia mauaji na utekwaji nyara wana wa Israel huku wapenda amani wakiomba matekwa waachiliwe lakini hamas hawataki. sasa kama wewe mkeo na watoto katekwa na majambazi hawaachii mpaka ulipe akiba yako ya benki ungefanya nini ikiwa unajua majambazi hayo makazi yao yako wapi? jamani acheni chuki za kidini wekeni mbele uhai wa mwana Israeli kwanza.
Kwa hiyo Ukraine walisharejesha yale maeneo yao yaliyokuwa yamechukuliwa na Russia?