Mwaka 2015 msemaji wa jeshi la Israel Avichai Adree wakati akiwasilisha ripoti yake ya operesheni ya kuwahamisha wapalestina katoka katika baadhii ya maeneo Gaza, alionyesha picha za tukio la kiungwana lililofanywa na mwanajeshi wa IDF dhidi ya kikongwe wa kipalestina.
Katika picha hiyo anaonekana askari huyo akimsadia maji ya kunywa kibibi huyo anayeonekana kuchoka sana.
Baada ya ripoti hiyo kuchapishwa, mwandishi mmoja wa habari aliamua kuweka hadharani ukweli jinsi tukio zima la askari huyo lilivyokuwa.
Mwandishi huyo anasema kibibi huyo alimsihi askari huyo kuwa wamekubali kundoka katika makazi yao kuelekea Kusini, hivyo anaomba wasiwaue.
Lakini cha kushangaza, baada ya kumaliza kumpa maji, askari huyo alitoa silaha yake na kummiminia kikongwe huyo, jambo lililopelekea kukatisha uhai wake.
View attachment 2812236View attachment 2812237