This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wamewauzia Hamas silaha so Iran amefanya biashara nzuri.Iran washutumiwe sana kwa kuwasaliti wapalestina, wamewadanganya halafu wamewatelekeza na sasa wanang'ang'ana na msalaba peke yao. Iran bure kabisa.
Hivi Ni Vita vya kiuchumi kwa Iran na Hamas kwa upande mmoja na Israel na Marekani na washirika wao.
Wewe hemka na ujinga WAKO wa dini.
Israel pale Gaza hataondoka na Ile gesi iliuogunndulika Gaza ataifyonza yote. Wanakadiria huo ujazo wa hiyo gesi Ina thaman ya bilion 500 USD.
Nb:unaodhani mosad walilala mpaka wakashindwa kung'amua yale mashambulizi ya Hamas.
Mpango ulikuwa Ni kuiteka Gaza.