LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Serikali ya Israel imesema ina hamu ya kumuona waziri mkuu wa zamani wa Uiengereza ,Tony Blair akiingilia kati na kuangalia wapi vilipofikia vita huko Gaza.

Wazo hilo limetolewa na waziri mkuu wa Israel mwenyewe ambaye hapo awali mara nyingi alisikika akipinga wazo lolote la uingiliwaji katika vita hivyo na usitishwaji wake.

Netanyahu amemtaja Tony Blair kama mtu mwenye uzoefu sana na siasa za mashariki yake anayeiweza vyema kazi hiyo ili kupunguza madhara ya vita.


Tony Blair touted by Israel as peacekeeper in Middle East

 
Letanyahu duniani atapata aibu na akifa atakuwa kuni ktk moto
 
Sawa nikajua kwa kipigo anachopewa Russia basi migambo wa Ukraine watakuwa wanakaribia hata kuingia Moscow

Nia sio kufika Moscow, ila kuua Warusi hadi waamue kurudi, mlitegemea supapawa wa hovyo sana, ameshindwa hata kuwalinda kule Palestina ambapo magaidi ya dini yenu yanaliwa mchana.
 
Nia sio kufika Moscow, ila kuua Warusi hadi waamue kurudi, mlitegemea supapawa wa hovyo sana, ameshindwa hata kuwalinda kule Palestina ambapo magaidi ya dini yenu yanaliwa mchana.
Tuishie hapa; vita inaendekea lakini Ukraine wameshindwa kurudisha maeneo yao yaliyoporwa
 
Mleta mada akili huna unaita tamko la kiume la Hamas kushikilia mateka?

Watanzania wenzetu wawili wanashikiliwa mateka na Hamas halafu wewe unaita tamko.lao la kiume
Kwani muislam ana akili dunian? ningekuwa rais wa nchi hii jamii badala ya kudeal wamasaai ningedeal nao aise
 
Letanyahu duniani atapata aibu na akifa atakuwa kuni ktk moto
Kuna watu walikuwa wanashangilia mwanzoni mwa vita.Sasa mtu wao huyo aanza kuwaacha mkono.Ataka suluhu.Wameshachoka na vita mwezi wa pili sasa bila mafanikio yoyote.
 
Mwaka 2015 msemaji wa jeshi la Israel Avichai Adree wakati akiwasilisha ripoti yake ya operesheni ya kuwahamisha wapalestina katoka katika baadhii ya maeneo Gaza, alionyesha picha za tukio la kiungwana lililofanywa na mwanajeshi wa IDF dhidi ya kikongwe wa kipalestina.

Katika picha hiyo anaonekana askari huyo akimsadia maji ya kunywa kibibi huyo anayeonekana kuchoka sana.

Baada ya ripoti hiyo kuchapishwa, mwandishi mmoja wa habari aliamua kuweka hadharani ukweli jinsi tukio zima la askari huyo lilivyokuwa.

Mwandishi huyo anasema kibibi huyo alimsihi askari huyo kuwa wamekubali kundoka katika makazi yao kuelekea Kusini, hivyo anaomba wasiwaue, lakini cha kushangaza, baada ya kumaliza kumpa maji, askari huyo alitoa silaha yake na kummiminia kikongwe huyo, jambo lililopelekea kukatisha uhai wake.

 
Mjomba darasani ulikuwa unakaa nyuma nini. Mbona maandishi sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…