LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Watu wazima wale waachwe wachapane, hata ikiwa kwa marungu. waachwe wapiane mpaka mwisho.
 
Kwa ninavyojua hela waliyotoa Marekani ni ya Iran, ilikuwa ni frozen assets. Na hiyo hela ni kwa ajili ya humanitarian aid mfano kujenga hospital au barabara, sio ya kuchukua ukajenga nyumba za kifahari au silaha. Na Marekani inasimamia matumizi ya hela hiyo kupitia Benki Kuu ya Qatar ambayo ndio hela inapitia nadhani, Iran ikikosea masharti kwenye matumizi hela inarudishwa.

So Iran hawajapata access ya $6 billion kwa pamoja na hawajafund kwa kutumia hela hiyo. Since hata Trump hajawa Rais, Iran imekuwa inatoa silaha na fedha kwa makundi hasimu wa Israel
 
Netanyahu called on the residents of Gaza to leave Gaza IMMEDIATELY ❗
 
shida yenu huwa ni shule. tangu mwaka 1951 kuna sheria Israel inaitwa Civil defence law, ambayo kila ukijenga nyumba, lazima uweke "bomb shelter" yaani handaki chini yake ambapo vita ikianza, unaweza kukimbilia chini maisha yakaendelea.
Sio handaki mkuu.Hiyo bomb shelter kwa ufafanuzi tu ni kama nyumba tu za kawaida,ila imetengenezwa mfano wa Culvert na material ambazo mabomu hayawezi kusababisha hatari yoyote
 
Jeshi la Hamas ni kikundi Cha kihuni tu, hivi wanachokifanya wao kulenga makaz na kuua raia moja kwa moja, kuteka vibibi/vibabu , kuteka visichana ndio ujinga Gani? Wangekuwa wanafanya Israel hayo mambo hali ingekuwaje? Nalipongeza sana jeshi la Israel pamoja na madhara waliyoyapata alfajir ya Leo ila wao wamelenga maeneo machache tu ambayo Yana miundombinu ya Hamas.
 
Wapalestina sio mara ya kwanza hii kupigwa mabomu
 
Revenge against the Fools and Killers is one of our great doctrine so you wait and see what unforgettable Lesson We're going to teach the Hamas, Palestines and the Arabs.
Nothing new, all damage can be inflicted to Palestinians has been.

You are fighting an ideology not a physical body. While Israel state is busy with lgbtq+ and westernization, in Gaza 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🤝
 
Bunge lao lilifikia hatua ya kingese, walikua kuna sheria wameitunga ya kuwafunga mikono wanajeshi ku act katika mazingira yale. Sheria yenyewe ilipelekwa na kile Chama cha arabu wa Israel na ikapita. Wanasaidiana kupitisha hizo sheria huku na wao wakitegemea kuungwa mkono na upande huo watakapokuja na jambo lao.
Same waarabu walikuja na sheria ya kupunguza idadi ya Polisi wa Kiyahudi kwenye maeneo ya waarabu, na wao wakakubali.
Huwa nafuatilia sana na kila siku mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina, kuna wakati nikawa naona kabisa Israel wameshakuwa mashoga wa kimaumbile na kiakili.
 
Huenda Hamas walipanga kwa muda mrefu sana hii ambush ya kushtukiza iliyoichanganya Israel.

Karibu na Egypt waingie chapu ,ila tatizo Egypt wana mikataba ya ushirikiano na makubaliano na Israel kuna kipindi wakimbizi wa Palestina walikuwa wanazuiliwa kuingia Misri.
Al sisi ni kibaraka tu wa nchi za magharibi, huenda hata akafunga kabisa mipaka kuzuia wakimbizi wa kutoka Gaza wasiende Misri kwa kisingizio cha Usalama
 
Apoh ni hatari kwa nnavoona yawezeka Israel alijitegeza ili aguswe na mpinzani wake mana vitisho wanavyotoa vinatisha wanaonyesha washajipanga siku ikitokea wawashe moto kwa mpinzani wak
 
Ndivyo ulivyo aminishwa? Na ndivyo mnavyoaminishwa sasahivi kuwa Ukraine anapigana peke yake against Russia?

Kilaza akili za kuambiwa huwe unachanganya na za kwako utafika mbali
Akishinda mnadai anasaidiwa akishindwa mnakejeli kachezea kichapo, akili zenu mnazijua wenyewe
 
Umechungulia kinachoendelea? Msiwajaze ujinga aisee. Ila Gaza hata Makabuli nahisi yatafunguka na waliomo kukimbia.
Waambie Mkuu. Isrsel tunataka kutoa Funzo kwa Wapalestina, Hamas na Waarabu.

Watajuta.....!!
 
Blood is blood regardless of israel or palestina. We are human beings and all have a right to live. Who the https://jamii.app/JFUserGuide are israelis to think Palestinians have no right to exist?
I support Palestinians right to live freely in this world!
 
The Israeli army says it has regained control over most of the settlements in the south of the country

The Israeli army has regained control over most of the border settlements near the Gaza Strip, where Palestinian terrorists "Hamas" had earlier infiltrated, Haaretz reported citing the military.

According to the newspaper, the number of dead from the consequences of Hamas attacks is at least 200 people, the number of wounded - more than 1 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…