LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Watu wazima wale waachwe wachapane, hata ikiwa kwa marungu. waachwe wapiane mpaka mwisho.
 
Mnamo Septemba Rais Joe Biden alitoa USD 6 Bilion kwa Serikali ya Iran kama fidia kwa mateka wa Kimarekani wenye asili ya Iran waliokuwa wanashikiliwa Tehran. Duru mbalimbali zinahisi hizo fedha zimetumika kuifadhili Hamas iweze kurusha makombora ndani ya Israel.

Huo ni udhaifu mwingine wa Joe Biden baada ya kukoroga kule Iran mwaka 2022View attachment 2774863
Kwa ninavyojua hela waliyotoa Marekani ni ya Iran, ilikuwa ni frozen assets. Na hiyo hela ni kwa ajili ya humanitarian aid mfano kujenga hospital au barabara, sio ya kuchukua ukajenga nyumba za kifahari au silaha. Na Marekani inasimamia matumizi ya hela hiyo kupitia Benki Kuu ya Qatar ambayo ndio hela inapitia nadhani, Iran ikikosea masharti kwenye matumizi hela inarudishwa.

So Iran hawajapata access ya $6 billion kwa pamoja na hawajafund kwa kutumia hela hiyo. Since hata Trump hajawa Rais, Iran imekuwa inatoa silaha na fedha kwa makundi hasimu wa Israel
 
Netanyahu called on the residents of Gaza to leave Gaza IMMEDIATELY ❗
 
shida yenu huwa ni shule. tangu mwaka 1951 kuna sheria Israel inaitwa Civil defence law, ambayo kila ukijenga nyumba, lazima uweke "bomb shelter" yaani handaki chini yake ambapo vita ikianza, unaweza kukimbilia chini maisha yakaendelea.
Sio handaki mkuu.Hiyo bomb shelter kwa ufafanuzi tu ni kama nyumba tu za kawaida,ila imetengenezwa mfano wa Culvert na material ambazo mabomu hayawezi kusababisha hatari yoyote
 
Jeshi la Hamas ni kikundi Cha kihuni tu, hivi wanachokifanya wao kulenga makaz na kuua raia moja kwa moja, kuteka vibibi/vibabu , kuteka visichana ndio ujinga Gani? Wangekuwa wanafanya Israel hayo mambo hali ingekuwaje? Nalipongeza sana jeshi la Israel pamoja na madhara waliyoyapata alfajir ya Leo ila wao wamelenga maeneo machache tu ambayo Yana miundombinu ya Hamas.
 
Ingawa nimefurahi waisrael kunyooshwapo kwa lile pigo, maana walijusahau sana. Ila kwa kweli Hamas wamesa kabisa akili, nadhani walikua wanawaza kupata picha za kutupia huko X pia TikTok, katika hawakujua kabisa kuwa wanajichimbia kaburi, na hakuna mamlaka yoyote itakayotoa wito hata Israel aweze ku back off.

Ukiisikiliza hii clip, utagundua huu mpango una ufadhali wa mataifa mengi ya ya maeneo hayo, hilo kosa ni kubwa sana kwani wapelestina watalazimika kupakimbia Gaza na kuelekea Ramallah ambako kule napo wengi watazuiwa kwani Ramallah hawataki kabisa kuhusishwa na hili, hivyo kutotaka msala uhamishiwe kwao. Ndiyo kwanza wapalestina wa Ramallah watalazimika kufunga njia za kutokea Gaza.
Wapalestina sio mara ya kwanza hii kupigwa mabomu
 
Revenge against the Fools and Killers is one of our great doctrine so you wait and see what unforgettable Lesson We're going to teach the Hamas, Palestines and the Arabs.
Nothing new, all damage can be inflicted to Palestinians has been.

You are fighting an ideology not a physical body. While Israel state is busy with lgbtq+ and westernization, in Gaza 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🤝
 
IDF leo wameniangusha sana.
Kwanza wamekuwa wazito sana kurespond.
Pia wengine wamekutwa wamelala kwenye vifaru.

Pia hata ile combat yao kuwadhibiti madogo wa hamas sio ya kiproo sana. Kuna footage moja inaonyesha liko kundi la wanajeshi wamerundikana kama kwa juu Hamas anawaona anatupa kiazi wote chali. Wachambuzi wameshamgaa pia.
Bunge lao lilifikia hatua ya kingese, walikua kuna sheria wameitunga ya kuwafunga mikono wanajeshi ku act katika mazingira yale. Sheria yenyewe ilipelekwa na kile Chama cha arabu wa Israel na ikapita. Wanasaidiana kupitisha hizo sheria huku na wao wakitegemea kuungwa mkono na upande huo watakapokuja na jambo lao.
Same waarabu walikuja na sheria ya kupunguza idadi ya Polisi wa Kiyahudi kwenye maeneo ya waarabu, na wao wakakubali.
Huwa nafuatilia sana na kila siku mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina, kuna wakati nikawa naona kabisa Israel wameshakuwa mashoga wa kimaumbile na kiakili.
 
Kihistoria Mashambulizi dhidi ya Israel mwezi wa October huwa yanaacha simanzi kubwa kwa Wahayudi nakumbuka October war Israel against Egypt and Syria ilikuwa moto sana matokeo yake Misri akarejesha eneo lake la Sinai peninsula liliokaliwa kimabavu na Israel.
Huenda Hamas walipanga kwa muda mrefu sana hii ambush ya kushtukiza iliyoichanganya Israel.

Karibu na Egypt waingie chapu ,ila tatizo Egypt wana mikataba ya ushirikiano na makubaliano na Israel kuna kipindi wakimbizi wa Palestina walikuwa wanazuiliwa kuingia Misri.
Al sisi ni kibaraka tu wa nchi za magharibi, huenda hata akafunga kabisa mipaka kuzuia wakimbizi wa kutoka Gaza wasiende Misri kwa kisingizio cha Usalama
 
Apoh ni hatari kwa nnavoona yawezeka Israel alijitegeza ili aguswe na mpinzani wake mana vitisho wanavyotoa vinatisha wanaonyesha washajipanga siku ikitokea wawashe moto kwa mpinzani wak
Hali unazidi kuwa mbaya Ukanda wa Gaza na sasa eneo hilo liko Gizani huku mapigano yakiendelea

Netanyahu asema atatumia silaha zake zote kuhakikisha anawaangamiza Hamas
Awaita Wapinzani kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa dharura

Israel yaita Jeshi lake la akiba kukaa Mguu Sawa

Source: Al jazeera news
 
Ndivyo ulivyo aminishwa? Na ndivyo mnavyoaminishwa sasahivi kuwa Ukraine anapigana peke yake against Russia?

Kilaza akili za kuambiwa huwe unachanganya na za kwako utafika mbali
Akishinda mnadai anasaidiwa akishindwa mnakejeli kachezea kichapo, akili zenu mnazijua wenyewe
 
Umechungulia kinachoendelea? Msiwajaze ujinga aisee. Ila Gaza hata Makabuli nahisi yatafunguka na waliomo kukimbia.
Waambie Mkuu. Isrsel tunataka kutoa Funzo kwa Wapalestina, Hamas na Waarabu.

Watajuta.....!!
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wetu Mpendwa Major General Ariel Sharon ( 1928 - 2014 ) alituachia Waisraeli huu Msemo wake wa Kishujaa usemao..."OUR DOCTRINE IS THAT THERE'S NO MISSION WE CAN'T ACCOMPLISH"... ambao ndiyo umekuwa Silaha yetu na Morali toshelezi Kwetu dhidi ya Wahuni na Wachokozi kama hawa Hamas wa Palestina, Iran na Lebanon.

Tumeshalipua tayari Ghorofa Kubwa lenye Wapalestina wengi na tumeshakamilisha Umafia wa Kuwakatia Umeme na sasa tunamalizia Kuiteka Rada yao ya Anga na Baharini ili kisitoke na kisijngie Kitu na baada ya hapo tunataka tutoe Funzo Tukuka kwa Wapalestina, Waarabu, Dunia na Wachokozi wote kuwa kama ambavyo ukiwa hapa JamiiForums hupashwi Kucheza na GENTAMYCINE basi hata hapa duniani pia hupashwi Kucheza na Taifa Teule la Mwenyezi Mungu la Israel.

Premier Netanyahu iteketeze Palestine.
Blood is blood regardless of israel or palestina. We are human beings and all have a right to live. Who the https://jamii.app/JFUserGuide are israelis to think Palestinians have no right to exist?
I support Palestinians right to live freely in this world!
 
The Israeli army says it has regained control over most of the settlements in the south of the country

The Israeli army has regained control over most of the border settlements near the Gaza Strip, where Palestinian terrorists "Hamas" had earlier infiltrated, Haaretz reported citing the military.

According to the newspaper, the number of dead from the consequences of Hamas attacks is at least 200 people, the number of wounded - more than 1 100.
 
Back
Top Bottom