AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Ndio nini hii mbona mafungu ulotoa hayaendani na hoja yako ya yesu kurudi Gaza?Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14
Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao
Mbarikiwe sana!