LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14

Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao

Mbarikiwe sana!
Ndio nini hii mbona mafungu ulotoa hayaendani na hoja yako ya yesu kurudi Gaza?
 
its better ukafuta iyo reply yako kwangu nenda ka reply kwa uyo dogo nilie m quote apo juu ili akuelezee vizur huo ushoga upo wapi

Asante
 
Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14

Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao

Mbarikiwe sana!
Wavaa kobazi na pedo lazima wafukuliwe popote walipo hata humo hospital.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah ila ww jamaa buana?
 
Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa.

Wagonjwa bila kujali maradhi na hali zao wametolewa nje na kuhojiiwa sjui kuhusu nini.

Mwisho wa yote mpaka sasa hawajapta Hamas,mateka na hwajaonesha kambi ya Hamas chini ya hospital.Wagonjwa wamejaa hofu.

Ni vita ya aibu kubwa katika historia
 
Wangaliwaruhusu waandishi wa habari wa West kuripoti sio wao kujiwekea silaha na kujisemea Hao hawaaminiki katu
mwandishi gani wa west angekubali icho kitu, BBC imejaa mashoga watupu wanapendelea hamas, al jazeera inapendelea hamas 100% labda fox. lakini hata hivyo, ni mwandishi gani atarisk maisha yake aende katikati ya mapigano kama hayo akijua anytime hamas wanaweza kumlenga kichwani au kwenye moto au bomu la wayahudi linaweza kumtwanga?
 
Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa...
kama hamas anatumia hospitali kama ngao, na chini yake kuna handaki lake, kwanini asivamie, au wababe wa kivita huwa hawavamii maeneo ambayo adui anatumia kujificha?hueleweki.
 
Wewe ni kijana mdogo mbona Afghanistan walikuweko, Iraq walikuweko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…