LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Yan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujificha🤣
Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.

Hivi unafikiri mtoto ni design ya kuficha siri?
 
Yan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujificha🤣
Huo usemi mliokaririshwa kidogo kidogo unaanza kufutika baada ya kushindwa kuthibitsha kile mlichokuwa mnakihubiri tokea vita inaanza kuwa Hamas anatumia hospital kama human shield 🤣🤣
 
Ungeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
Fact hii video ya Uongo
Screenshot_20231115-230632.png

Wapalestina ambao hata umeme hawana, Wanatumia pipe kutengeneza mabomu ya kienyeji hizo lift wanapata wapi za umeme? So video yako ishachunguzwa ni Hollywood kama Hollywood nyengine.
 
Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.

Hivi unafikiri mtoto ni design ya kuficha siri?
Mkuu hizo zote ni aibu maana sasa hivi watakosa visingizio vya Hamas kujificha nyuma ya watoto.
 
Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.

Hivi unafikiri mtoto ni design ya kuficha siri?
Sasa zile tunnels na mahandaki chini ya mashule na hospital ya nini? Zaidi ya mita 20 chini ya ardhi wanafanya nini huko na vimekutwa zana za kivita. Ni nani hao?
 
Huo usemi mliokaririshwa kidogo kidogo unaanza kufutika baada ya kushindwa kuthibitsha kile mlichokuwa mnakihubiri tokea vita inaanza kuwa Hamas anatumia hospital kama human shield 🤣🤣
Sasa wajitokeze wapambane na IDF kuliko kujificha. Mji wao wote umegeuzwa vumbi. Idf wanatoa taarifa za askari wao waliofia vitani lakini Hamas husikii zaidi mnaishia kuonesha vifaru tu. Acheni ushabiki utoto tuungane kuwapinga magaidi ndio wanaotuondolea amani tuliyonayo
 
Fact hii video ya Uongo
View attachment 2814869

Wapalestina ambao hata umeme hawana, Wanatumia pipe kutengeneza mabomu ya kienyeji hizo lift wanapata wapi za umeme? So video yako ishachunguzwa ni Hollywood kama Hollywood nyengine.
Samahani kukwambia hivi ila wewe akili HUNA. Electric supply imesitishwa baada ya vita kuanza na kama umeamgalia hiyo video kwa makini pembeni kuna ngazi kwa ajili ya kushuka na kupanda manually. Lakini jamaa amesema pia katika mifumo ya umeme kuna mfumo wa solar rudi kaangalie hiyo video usikurupuke tena
 
Sasa zile tunnels na mahandaki chini ya mashule na hospital ya nini? Zaidi ya mita 20 chini ya ardhi wanafanya nini huko na vimekutwa zana za kivita. Ni nani hao?
Nioneshe tunnel ya Hospitali maana kwangu sijaiona na video ulioweka ya shule ni Tunnel ya Lifft IDF wanadanganya na screenshot mtaalam wa Lift akionesha.
 
Samahani kukwambia hivi ila wewe akili HUNA. Electric supply imesitishwa baada ya vita kuanza na kama umeamgalia hiyo video kwa makini pembeni kuna ngazi kwa ajili ya kushuka na kupanda manually. Lakini jamaa amesema pia katika mifumo ya umeme kuna mfumo wa solar rudi kaangalie hiyo video usikurupuke tena
Sasa lift ni Mahandaki? Ushaambiwa Mahandaki ya Hamas ni Connected yapo km kadhaa yanaungana then mtu anaenda shule then Anakuonesha Shimo la lift then huko Chini kuna Tiles na makochi anakwambia mahandaki ya Hamas

Ushawahi kuona Hamas wenyewe wakipiga picha ama video zao?

In short jamaa zako wapo Busy kutengeneza Hollywood movies na kila video wanayo toa ni Amateurish inakuwa debunked dakika kadhaa tu.
 
Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa.

Wagonjwa bila kujali maradhi na hali zao wametolewa nje na kuhojiiwa sjui kuhusu nini.

Mwisho wa yote mpaka sasa hawajapta Hamas,mateka na hwajaonesha kambi ya Hamas chini ya hospital.Wagonjwa wamejaa hofu.

Ni vita ya aibu kubwa katika historia
Wapigania Allah akili sifuri kabisaa, yani mnajificha hospitalini kabisa😂😂😁😁😁😀..
 
Wasalaam wanajamvi, nimekuwa nikisikiliza wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kisiasa wakidai mgogoro wa ISRAEL na PALESTINA siyo wa kidini.Swali langu sasa,ni Kwa nini WAKRISTO huku Afrika mashariki wapo upande wa waisrael na waislamu wapo upande wa wapalestina?
 
Attachments

  • FB_IMG_1700127196114.jpg
    FB_IMG_1700127196114.jpg
    25.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1700127253498.jpg
    FB_IMG_1700127253498.jpg
    57.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1700127171837.jpg
    FB_IMG_1700127171837.jpg
    61.3 KB · Views: 5
Waislam wanaunga mkono Palestina kwa sababu ya udini ndio, lakini kwa wakristo kuunga mkono Israeli labda kwa mtazamo mwingine sio dini, kwa sababu wa Israeli sio wakristo badala yake ni wapinga kristo
 
Nilitaka kuandika hivyo kama wewe umeniwahi sana. Watu wengi hawajui
kuwa asilimia ya wakristo ISRAEL ni 1.9
wayahudi 62.6
waislam 35.5
Halafu Israel kuna misikiti 400 na kati ya hiyo 16 iko katika mji wa Jerusalem
Kwenye jeshi la Israel IDF wapo waislam pia
Gaza kwa Wapalestina kuna wakrito pia
 
Back
Top Bottom