Mimi si IDF waliosema chini ya hospitali kuna command centre ya Hamas na kuna mateka wamefichwaNaona wewe unabisha kutimiza wajibu. Yan ili mradi tu
Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.Yan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujifichaπ€£
Lete picha moja tu inayoonyesha mtoto yuko mbele na nyuma yake amejificha mpigania uhuru wa HamasYan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujifichaπ€£
Huo usemi mliokaririshwa kidogo kidogo unaanza kufutika baada ya kushindwa kuthibitsha kile mlichokuwa mnakihubiri tokea vita inaanza kuwa Hamas anatumia hospital kama human shield π€£π€£Yan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujifichaπ€£
Fact hii video ya UongoUngeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
Mkuu hizo zote ni aibu maana sasa hivi watakosa visingizio vya Hamas kujificha nyuma ya watoto.Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.
Hivi unafikiri mtoto ni design ya kuficha siri?
The technology:
Sasa zile tunnels na mahandaki chini ya mashule na hospital ya nini? Zaidi ya mita 20 chini ya ardhi wanafanya nini huko na vimekutwa zana za kivita. Ni nani hao?Tatizo Leno mmejawa na ushabiki badala ya uhalisia, dunia nzima inaongelea idf wamefeli kupata evidence ya Hamas hospital Nyie bado mnaendeleza cheap propaganda kwamba wanajificha nyuma ya watoto.
Hivi unafikiri mtoto ni design ya kuficha siri?
Tunnels na mahandaki chini ya hospital na mashule ilikua ni kwa ajili ya nini huko?Lete picha moja tu inayoonyesha mtoto yuko mbele na nyuma yake amejificha mpigania uhuru wa Hamas
Sasa wajitokeze wapambane na IDF kuliko kujificha. Mji wao wote umegeuzwa vumbi. Idf wanatoa taarifa za askari wao waliofia vitani lakini Hamas husikii zaidi mnaishia kuonesha vifaru tu. Acheni ushabiki utoto tuungane kuwapinga magaidi ndio wanaotuondolea amani tuliyonayoHuo usemi mliokaririshwa kidogo kidogo unaanza kufutika baada ya kushindwa kuthibitsha kile mlichokuwa mnakihubiri tokea vita inaanza kuwa Hamas anatumia hospital kama human shield π€£π€£
Samahani kukwambia hivi ila wewe akili HUNA. Electric supply imesitishwa baada ya vita kuanza na kama umeamgalia hiyo video kwa makini pembeni kuna ngazi kwa ajili ya kushuka na kupanda manually. Lakini jamaa amesema pia katika mifumo ya umeme kuna mfumo wa solar rudi kaangalie hiyo video usikurupuke tenaFact hii video ya Uongo
View attachment 2814869
Wapalestina ambao hata umeme hawana, Wanatumia pipe kutengeneza mabomu ya kienyeji hizo lift wanapata wapi za umeme? So video yako ishachunguzwa ni Hollywood kama Hollywood nyengine.
Nioneshe tunnel ya Hospitali maana kwangu sijaiona na video ulioweka ya shule ni Tunnel ya Lifft IDF wanadanganya na screenshot mtaalam wa Lift akionesha.Sasa zile tunnels na mahandaki chini ya mashule na hospital ya nini? Zaidi ya mita 20 chini ya ardhi wanafanya nini huko na vimekutwa zana za kivita. Ni nani hao?
Sasa lift ni Mahandaki? Ushaambiwa Mahandaki ya Hamas ni Connected yapo km kadhaa yanaungana then mtu anaenda shule then Anakuonesha Shimo la lift then huko Chini kuna Tiles na makochi anakwambia mahandaki ya HamasSamahani kukwambia hivi ila wewe akili HUNA. Electric supply imesitishwa baada ya vita kuanza na kama umeamgalia hiyo video kwa makini pembeni kuna ngazi kwa ajili ya kushuka na kupanda manually. Lakini jamaa amesema pia katika mifumo ya umeme kuna mfumo wa solar rudi kaangalie hiyo video usikurupuke tena
Wapigania Allah akili sifuri kabisaa, yani mnajificha hospitalini kabisaππππππ..Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa.
Wagonjwa bila kujali maradhi na hali zao wametolewa nje na kuhojiiwa sjui kuhusu nini.
Mwisho wa yote mpaka sasa hawajapta Hamas,mateka na hwajaonesha kambi ya Hamas chini ya hospital.Wagonjwa wamejaa hofu.
Ni vita ya aibu kubwa katika historia
Ndio mnavyofanyaga hivyo huko madrasa kwa wale watoto, mashetani wakubwa.Wavaa Pampers watakula risasi Za makalio basala ya shahawa
Si ndiyo walikopatikana mateka na ile Command Center au vipi?Tunnels na mahandaki chini ya hospital na mashule ilikua ni kwa ajili ya nini huko?
Nilitaka kuandika hivyo kama wewe umeniwahi sana. Watu wengi hawajuiWaislam wanaunga mkono Palestina kwa sababu ya udini ndio, lakini kwa wakristo kuunga mkono Israeli labda kwa mtazamo mwingine sio dini, kwa sababu wa Israeli sio wakristo badala yake ni wapinga kristo