LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waislam wanaunga mkono Palestina kwa sababu ya udini ndio, lakini kwa wakristo kuunga mkono Israeli labda kwa mtazamo mwingine sio dini, kwa sababu wa Israeli sio wakristo badala yake ni wapinga kristo
Ni dini gani inayosema Israel ni taifa teule? Wapalestina wanachotaka ni ardhi yao tu basi, hawana shida na dini ya uyahudi
 
misimamo ya viongozi wa dini mara nyingi ndio misimamo ya waumini wao... wachungaji wako na israel, masheh wako na palestina, wazungu wako na israel, waarabu wako na palestina.
 
Hivi hizo pazia kwenye ukuta usiokua na mlango Wala drisha zilimaanisha Nini? Wajuvi nisaidieni,
ni chumba walikuwa wamekiandaa makusudi kwa ajili ya press-conference. hayo mapazia yanawafanya waonekane kama wapo kwenye ofisi, au nyumba nzuri, kumbe hamna kitu. magaidi ni majinga sana.
 
Wewe jamaa kumbe punguani kiasi hiki umekuwa msemaji wa Mungu sana hawa Waisrael weusi wa Makete na Kibosho wanashangaza sana.
haya yote yameandikwa kwenye Biblia, nenda kaisome upunguze uhafifu wa akili yako.
 
ni chumba walikuwa wamekiandaa makusudi kwa ajili ya press-conference. hayo mapazia yanawafanya waonekane kama wapo kwenye ofisi, au nyumba nzuri, kumbe hamna kitu. magaidi ni majinga sana.
Ndivyo walivyokuambia au umekuwa msemaji wao?
Wewe unashabikia mashoga au wewe ni shoga?

 
onyesheni Jeshi la Hamasi liliopo Al shifaa hospital au telecommunications centre.

Wamwepiga hospital kwa ndege wameivamia kwa vifaru sababu wanasema hapo ni Central ya Hamas wamejificha na mateka.

The technology:
  • A school book bag (empty)
  • CDs
  • Laptop

Yup. That’s the proof of a command center.😂
 
Ile video imeeleza vizuri sana sijui kwa nini mmeamua kukaza mafuvu
 
Metal and MRI machine is not compatible in the same room. Shifa has been using the machine for countless patients with bone fractures. The IOF should have thought of a smarter spot to plant those
So what..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…