LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ngoja tusubiri tuone mwenye mshipa huo kwa "mayahudi"!Nisisikie ng'weeee...anaua watoto na akina mama!
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."
Your browser is not able to display this video.
 
Ngoja tuone kama itafanikiwa .....apige meli hata moja tuone retaliation itakuwaje....Yemen anachokitafuta atakipata anategemea nchi washirika wamsaidie.....atashangaa
Amepiga mji wa Eilat wa Israel zaidi ya mara 20 kwa makombora na yamelenga shabaha unataka ushahidi gani tena wa kuprove?
 
Mji wa Eilat ulichakazwa namna hii na makombora kutoka Yemen
Your browser is not able to display this video.
 
Waache kujamba mishuzi, kama ma giant wa Arabia, Egypt na uturuki(turkey), hawana mpango wa Vita na Israel, wao wanaomba diplomasia itawale, sembuse hawa maskini wa Yemen, wawaulize hao ma giant wawaambie wanaona nini huko Israel,Jews amepanga kuifuta kabisa Palestine,
 
Israel hutoa funzo la kudumu kwenye ubongo Misri ni mfano na sasa Hamas wanawekewa kumbukumbu ya kudumu
 
Hata kama vinasaba sio vya wale Israel Og. Mwogopee sana mtu anatetembea kwa kujitambulisha mwiisrael, kuna kitu kipo nyumaa yao. Ile vita ya siku sita waMirsi walishangaa tuu ndege zao zote za kivita vimelipuliwa, walio jangwani wakashangaa wanajeshi wa Israel wanatokea upande ambao hawakutegemea, mpaka leo misri anajua kuna kinini kipo pale caanani
 
Israel hutoa funzo la kudumu kwenye ubongo Misri ni mfano na sasa Hamas wanawekewa kumbukumbu ya kudumu
Kipindi Ghadafi, kapinduliwa, hifadhi zake za, silaha, ziliibiwa, na, kiasi kikubwa kwa msaada wa Iran, ziliingizwa, kimagendo Gaza kwa, Hamas, sasa, hawa waarabu wajiulize zile siraha zipo wapi?
Ndani ya nchi nyingi za kiarabu, wanaogopa Sana watu wenye misimamo mikali ya kidini, kama Muslim Brotherhood kushika serikali na vyombo vya Dora na siasa,
 
Amepiga mji wa Eilat wa Israel zaidi ya mara 20 kwa makombora na yamelenga shabaha unataka ushahidi gani tena wa kuprove?
Akianza kupakatwa hamtakuja hapa kuomba huruma ya Dunia?
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."View attachment 2818590
Ok je Hamasi wamekufa wangapi ndani ya hayo masaa 48? Au ndio kama kawaida yenu Hamas hawafagi ila ni wanawake na watoto ndo wanakufa hapo Gaza?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…