LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema Kipigo kinachoendelea Gaza ni Sawa Sawa na maagizo ya Biblia katika Kitabu cha 1 Samwel 15: 1-3

Source Al jazeera news

Wakuu aliyeuona huo mstari atufafanulie tafadhali
 
Waliochagua kuwa wapagani waliona mbali sana.

Hizi dini ni uongo, unafiki, uzandiki na ubabaishaji mtupu.

Hata humu watu wanatetea uuaji wa watu wasio na hatia kwa kuangalia anaetekeleza haya mauji ni nani halafu wanajifanya ni wakristo/waislam. Unafiki mtupu!
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema Kipigo kinachoendelea Gaza ni Sawa Sawa na maagizo ya Biblia katika Kitabu cha 1 Samwel 15: 1-3

Source Al jazeera news

Wakuu aliyeuona huo mstari atufafanulie tafadhali

Bible Gateway 1 Samuel 15 :: NIV. Samuel said to Saul, "I am the one the LORD sent to anoint you king over his people Israel; so listen now to the message from the LORD. This is what the LORD Almighty says: `I will punish the Amalekites for what they did to Israel when they waylaid them as they came up from Egypt.
 
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1726260367683362921

Wayahudi ndio jamii ya Mashariki ya kati haikuupokea Uislam na Uarabu na Watu ambao hawakuiacha asili yao kwa miaka 2000 licha ya kuwa kila sehemu, Kama Hamas ambao waliweza kuwa assimilated into Arab culture and Islam wanaamini Israel itachoka kuwaua, they are wrong.

Hii ni hata kwa Waislam wa humu, kama mnadhani Israel itachoka kuwaua Wapalestina kila inabobidi, mnajidanganya
 
Ila wewe fala unayejiita MK254 utakuwa unawashwawashwa sana na waislamu. Naamini kabisa hauna amani huko uliko yani wewe utakuwa na laana ya Mwenyezi Mungu na maisha yako yatakuwa ya huzuni tu popote utakapokuwa iwe kazini au nyumbani popote wewe hauna na hutakuwa na amani kamwe..

Hiyo laana haitakuacha mpaka vizazi vyako..Laana ya Mungu iwe na nawe mpaka siku unaingizwa kaburini..

Kwa taarifa yako tu Uislamu upo na hautaisha mpaka siku ya mwisho....hizo propaganda zako tushakuzoea endelea kujifurahisha...

Kwanza nashangaa mods sijui kwa nini wanakuacha wewe ilitakiwa ule ban ya milele..pambafu kabisa....shwain
 
Hezbollah wamechapisha mkanda wa video mtandaoni wenye maandishi ya "we are coming" wakiambia wazayuni kuwa wanakuja

Hii inajiri kukiwa ni siku mbili za majibizano makali ya masaa 48 kati ya makomandoo wa Hezbollah na wanajeshi wa Utawala wa Israel iliyopelekea hezbollah kuchoma kambi nyingi za jeshi la Israel kwa makombora mazito

Mpaka sasa Hezbollah washaharibu minara karibia yote,kambi zote,na vituo vua mawasiliano kaskazini mwa Israel na kumfanya adui mzayuni kupata hasara kubwa sana ya Karne

Kaskazini mwa Israel pamekua ni kinamasi kwa wazayuni mfano kwa siku 3 mfululizo waliishi bila umeme baada ya miundombinu ya umeme kuchomwa na Hezbollah

Wazayuni wengi wamehama kaskazini mwa Israel na wengine karibia elfu 50 nchini kote wameshaondoka Israel na kutoapa kurudi tena katika taifa hilo

Video ya "we are coming" imewashtua wazayuni sana na kuwatia kiwewe huenda Vita ikawa kubwa zaidi
 
More Western Nations Make U-Turn; Sanction Israel, Recognises State of Palestine!​

View: https://youtu.be/vz4y0Pdtjv4?si=3T1p0FI0FGF-5wY_
More western Nations are now standing up against the injustice towards Palestinians in Gaza in the name of self-defense by Israel. At the onset of the crisis, the excuse was a military action to defend against Hamas but current events on the battlefield has demonstrated that Hamas is no match with Israel forces and so the disproportionate use of force is very overwhelming. Apparently, the people most effected in this charade are the innocent civilians which Israel as a so-called civilized nation should protect. We report on what mainstream media ignore. Please help others see this video by liking and sharing it. Hit the subscribe button to stay up to speed with the latest from the Palestinian struggle...
 
Hizo porojo sasa Lebanon, Syria na Iran zikipigwa msianze mambo ya haki za binadamu.
 
Kama wanakuja waje na hesabu nzuri isifike muda nao waanze kujificha kwa raia tuanze kusunbuana humu na hashtag za freeHezbollah

Kama ni come back basi iwe ya ukweli maswala ya kupigana mikwara halafu kwenye ground battle tunakuona unakimbilia kung'ata inakuwa miyeyusho.
 
Hezbollah wamechapisha mkanda wa video mtandaoni wenye maandishi ya "we are coming" wakiambia wazayuni kuwa wanakuja

Hii inajiri kukiwa ni siku mbili za majibizano makali ya masaa 48 kati ya makomandoo wa Hezbollah na wanajeshi wa Utawala wa Israel iliyopelekea hezbollah kuchoma kambi nyingi za jeshi la Israel kwa makombora mazito

Mpaka sasa Hezbollah washaharibu minara karibia yote,kambi zote,na vituo vua mawasiliano kaskazini mwa Israel na kumfanya adui mzayuni kupata hasara kubwa sana ya Karne

Kaskazini mwa Israel pamekua ni kinamasi kwa wazayuni mfano kwa siku 3 mfululizo waliishi bila umeme baada ya miundombinu ya umeme kuchomwa na Hezbollah

Wazayuni wengi wamehama kaskazini mwa Israel na wengine karibia elfu 50 nchini kote wameshaondoka Israel na kutoapa kurudi tena katika taifa hilo

Video ya "we are coming" imewashtua wazayuni sana na kuwatia kiwewe huenda Vita ikawa kubwa zaidi
Israel maneno kidogo
 
Back
Top Bottom