LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu Shughuli iko kwenye mahandaki! Kwa Taarifa zisizo rasmi, nasikia kule ni machinjioni kwa pande zote mbili.
Usisahau kauli ya Netanyahu "Vita vitakuwa vigumu na vitachukua muda mrefu, lakini tutashinda"!
Hakuna mapigano yanayo endelea kwenye mahandaki bali mapigano yapo mitaani.

Alafu taarifa ya Israel kuidhibiti gaza kaskazini sio kweli kwa sababu mapigano ni makali sana huko gaza city.
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."View attachment 2818590
Unatakiwa kujua akifa Muisrael mmoja ujue upande wa pili ni mara 10, tarehe 7 Hamas waliua 1200 mpaka sasa wapalestina 12,800
 
Nonsense,wapigania Allah mlioahidiwa mabikra 72 jehanum mnakazi kubwa sana.
Ww jamaa nadhani utakuwa na shida kubwa kichwani, au unawaonea wivu hao mabkra ulitaka kwenye nafasi yao uwepo ww na mama yako? maana imekuwa to much.
 
Waziri WA ulinzi akae Kwa kutulia,mambo mazuri Bado hajayaona.

NATO wamempa kichwa Uikrane Sasa wamechoka,zamu yake.
Nakumbuka wakati wa vita vya ghuba Iraqi na USA, washabiki walikua hivi hivi mpaka Sadam akadakwa
 
Teh teh teh
Wamepata na vichwa 50 vya watotp wa kisrael waliochinjwa tarehe 7
 

Attachments

  • IMG_6433.jpeg
    45.7 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…