LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nawasi wasi huyu jamaa sio Muislam na kama ni Muislam basi kajitoa bila yeye kufahamu sababu bongo lake jeupe na haujui Uislam.

Ila Jesus si Koran imesema ndio atahukumu kwa haki watu wote siku ya kiyama? au Hujui uamtukana Judge wenu hahaha

The Hadith of Abu Hurariah (Sahih Bukhari 4:55:657) says, “… surely (Jesus), the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind…”

Kasome aya 43:61 Yesu akirudi kuja kuwahukumu Muslims

Jesus ndio atakaye muua Dajjal au hujui we mtukane tu
Hakuna aya kwenye quran inayosema yeah atarudi wala kuwa hakimu kiyama,nauliza tena,yeah atakayekunywa mvinyo kwa babaake,je babaake no baamedi!?
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."View attachment 2818590
Yaani hii vita hata haieleweki. Wanaokufa israel ni wanajeshi, wanaokufa gaza ni wanawake na watoto. Ngoja tutulie mbabe akipatikana vita itaisha.
 
Hivi unajua maana ya ngumu na ya muda mrefu? Ngoja nikuambie.

Gaza utakaluwa na Israel kwa muda mrefu kwa kisingizio cha kutafuta mateka , na kwa ajili hiyo Hamas itatafutwa acha Chini ya mawe hadi chini ya ardhi na kuangamizwa. Hiyo ndiyo maana ya " Ngumu na ya muda mrefu.

Netanyau na waziri wake wa ulinzi waliongelelea mashambulizi toka Hezbulah,na Yemen.

Kama utaachwa unafiki ukawa mkweli, mfadhiri wa Hezbulah na hauth ni Iran.

Japo umeandika kinafiki, hao viongozi hawajalalamika bali wametoa onyo." Tunajua tutakabyojibu"
Ukweli ni kwamba Israel inachukua Gaza yote, hawataondoka tena hapo
 
Wanaokufa Gaza ni watoto, wanawake na askari wa Israeli tu
HAMAS na Wizara ya Afya ya Palestina ndiyo akili zao hizo.Wakitoa takwimu wanaongelea idadi ya kina mama na watoto,ile inayobaki hawasemi ni kina nani
 
Hivi unajua maana ya ngumu na ya muda mrefu? Ngoja nikuambie.

Gaza utakaluwa na Israel kwa muda mrefu kwa kisingizio cha kutafuta mateka , na kwa ajili hiyo Hamas itatafutwa acha Chini ya mawe hadi chini ya ardhi na kuangamizwa. Hiyo ndiyo maana ya " Ngumu na ya muda mrefu.

Netanyau na waziri wake wa ulinzi waliongelelea mashambulizi toka Hezbulah,na Yemen.

Kama utaachwa unafiki ukawa mkweli, mfadhiri wa Hezbulah na hauth ni Iran.

Japo umeandika kinafiki, hao viongozi hawajalalamika bali wametoa onyo." Tunajua tutakabyojibu"
Akawapige hao anaodhani ni rahis hivyo , Israel inaowaonea sana hawa hamasi kwa kuwa hawamiliki hata kifaru , drone ndege ;kwnza inaonyesha ameshaachoka kwa mweiz tu yupo hoi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Iran hawezi tia mguu..itakuwa hatma yake imefika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kama vile iran ilipokuwa inasema israel akiingia kwa ardhi gaza atakiona cha moto maana yeye iran angeingilia kati
 
Back
Top Bottom