LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
Bila shaka watatoa mait 60 na watu 40
 
Hicho ulichouliza inaonekana hujui lolote, hao Waarabu wenyewe ndio usiku kucha wanaipigia magoti Marekani iingilie kati.

Israel inaisikiliza Marekani peke yake na si nchi nyingine yoyote na Marekani ndio mfadhili mkuu wa Israel.
Hapa una generalize, waarabu sio single entity kila nchi ina Marafiki na maadui, kuna Nchi za kiarabu ni Allies wa USA kama hizo za Gulf, Zipo ambazo ni Allies Urusi kama Syria, Part Ya Yemen, Iraq, Lebanon etc, kuna ambazo zinachukiwa na waarabu wenzao na kuuangana na Israel kama Morocco, kuna ambazo Zina Allies west ila sio Nchi zote kama Algeria etc.
 
Ila zamani tulimezeshwa matango haswa!

Mtu hawezi kuamini Israel Ile tuliofundishwa ndo ingeshindwa kiwajua mateka walipo
Zamani Hakukuwa na Technology kama sasa, IDF wanakufa kindezi kweli, ukiona Video za Hamas unaona kabisa hamna kitu pale, kila baada ya siku 2 ama 3 Hamas wanatoa Video wakionesha makumi ya Vifaru yalipuliwa.

Mfano hii video ya Juzi
Your browser is not able to display this video.


Ukiangalia hio video Hamas hapati upinzani wowote, wanatega tu sehemu wanawalipua IDF wanasepa.

IDF wanabakia tu kuua vizee na Vitoto mpaka leo hawajui Hamas wanatoka wapi.
 

Hamas ni wanaume aise, ni makomandoo haswaa, sio hao waisrael nguvu yao ni angani hahhaaaa
 
Hii video mbona kama fake!
 
IOF ilishiriki video nyingine ya propaganda inayodaiwa kuonyesha maendeleo yao ndani ya Ukanda.

Ninachokiona ni makomando wa Kiisraeli wakifyatua risasi kwenye kuta tupu, nyumba, na ardhini katika kujaribu kuwashawishi watu wao kwamba jeshi lao linashiriki katika mapambano ya ardhini yenye mafanikio.
😂
 
Wanaukumbi.
Ripoti kwamba Jeshi la Iran limejiweka tahadhari na kuanzisha mazoezi makubwa ya kijeshi lipo tayari kwa vita kuanzia sasa hivi.
==========================
BREAKING: Reports that Iran's Armed Forces raised their alert level and launched a large military exercise.

Your browser is not able to display this video.


Source: Israel Today.
 
Wajinga mpo wengi sana.
 

Attachments

  • FB_IMG_1699462240284.jpg
    84.1 KB · Views: 2
Guys tuacheni utani na ushabiki pembeni to be honestly IDF nanga waliyoingia hapo Gaza hawatoki salama.

Haki IDF wanakwisha huko Gaza hebu imagine kwa siku wanauliwa si chini ya 30 mpaka 40 na majeruhi ndo usipime

Hadi sasa Israel keshakula hasara nzito sana kiukweli tuache utani na masihara na ushabiki pembeni hawa jamaa wanafutwa kama kuku huko Gaza

Na ndo maana nahisi wenyewe wameanza kuomba #ceasefire vita imekua ngumu sana kwao!! sasa hii vita ikiendelea hivi si watakwisha wote hao jamaa?

Kusema kweli kuna saa nahisi Hamas labda sio binadam wa kawaida,maana jamaa hata sijui wana utaalam gani maana jamaa wameshindikana kwenye vita halafu wana mbinu nyingi sana.

Mfano jana wamerusha maroketi makumi kwa makumi rockets ambazo Israel wanakiri tokea vita imeanza hawajawahi kufurumushiwa nyingi kwa mpigo kama jana.

Na hapo Israel alikua ashajiganga kuwa nguvu ya maroketi ya Hamas ndo basi tena tokea waingie Gaza jana wakapata suprise hadi Israel wanajiuliza hawa jamaa wanazirusha kutokea wapi

Gaza imezingirwa kuanzia angani nchi kavu na baharini lakini bado wanaume wa Hamas wanajitutumua wanajitunisha misuli mbele ya dola linalofadhiliwa kila kitu,imagine Hamas wangekua na hata kifaru kimoja tu huko Telaviv pangekalika?Israel pamoja na propaganda na kubebwa lakini still hamna kitu ushoga ni mbaya sana unalegeza mtu hawezi kupigana kabisa ona sasa aibu hizi kwa IDF

Kama nchi tuna ya kujifunza kwa Hamas pamoja na mzingiro mkali na vikwazo kwa miaka 16 still bado wana nguvu na wanatengeneza silaha na vitu kibao sisi miaka 60 ya uhuru hatujaweza kila kitu tunaagiza nje.

Kwa hali ya sasa ikiendelea Waisrael wote wataishia kufia Gaza kiukweli sio kwa wanavyouliwa kama kuku..

UKWELI HUWA UNAUMA SIKU ZOTE.
 
Sasa kama wa Israel wote watafia Gaza ndiyo vizuri, lengo la kuifuta Israel litakuwa limetimia.
Allah akber!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…