LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
wameuwa wenyewe, waonyeshe miili, si walikuwa sehemu salama? wakirudisha tu kibano kiendelee
 
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
johnthebaptist si Alwaz alitwambia humu kuwa HAMAS haiusiki na mashambulizi huko kwenye Tamasha la Muziki na obviously hawahusiki na mateka waliotekwa baada ya mashambulizi. Halafu alisema mashambulizi ya Israel yanauwa wanawake na watoto tu maana sio mateasa wala Wapiganaji wa HAMAS wapo huko wanakishambulia Israel. Sasa Hamas wanaachia mateka wapi?
 
Yule ni shabiki tu
 
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
Vita haina macho,
waachiwe huru tu haohao walio bado hai
 
Hujui maana ya mijadala, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo na mtazamo wake
Hicho ulichouliza inaonekana hujui lolote, hao Waarabu wenyewe ndio usiku kucha wanaipigia magoti Marekani iingilie kati.

Israel inaisikiliza Marekani peke yake na si nchi nyingine yoyote na Marekani ndio mfadhili mkuu wa Israel.
 
Back
Top Bottom