Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Akiwepo Kijana Wetu.
Ameuawa na IDF, nasubiri wazayuni weusi kama watapanic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwepo Kijana Wetu.
Hayo Mazayuni yalivyo mambwa hayajakomboa mateka hata mmja zaidi ya kuuaAmeuawa na IDF, nasubiri wazayuni weusi kama watapanic
Wapalestina wengi na Waisrael wengi ni raia wa Marekani na ChileUgomvi wa Israel Hamas makubaliano yanafanywa na Marekani
Na wewe unaamini hawajui walipo? 😂😂Ila zamani tulimezeshwa matango haswa!
Mtu hawezi kuamini Israel Ile tuliofundishwa ndo ingeshindwa kiwajua mateka walipo
Wenye Mateka ndio wanahangaikaHayo Mazayuni yalivyo mambwa hayajakomboa mateka hata mmja zaidi ya kuua
Sasa kama hujui influence ya Marekani utaelewa vipi hata kinachoendelea middle east?Ugomvi wa Israel Hamas makubaliano yanafanywa na Marekani
wameuwa wenyewe, waonyeshe miili, si walikuwa sehemu salama? wakirudisha tu kibano kiendeleeTaarifa ndio Hiyo
Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF
Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha
Source Al jazeera news
johnthebaptist si Alwaz alitwambia humu kuwa HAMAS haiusiki na mashambulizi huko kwenye Tamasha la Muziki na obviously hawahusiki na mateka waliotekwa baada ya mashambulizi. Halafu alisema mashambulizi ya Israel yanauwa wanawake na watoto tu maana sio mateasa wala Wapiganaji wa HAMAS wapo huko wanakishambulia Israel. Sasa Hamas wanaachia mateka wapi?Taarifa ndio Hiyo
Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF
Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha
Source Al jazeera news
Yule ni shabiki tujohnthebaptist si Alwaz alitwambia humu kuwa HAMAS haiusiki na mashambulizi huko kwenye Tamasha la Muziki na obviously hawahusiki na mateka waliotekwa baada ya mashambulizi. Halafu alisema mashambulizi ya Israel yanauwa wanawake na watoto tu maana sio mateasa wala Wapiganaji wa HAMAS wapo huko wanakishambulia Israel. Sasa Hamas wanaachia mateka wapi?
Siyo kwamba inashindwa bali ni turufu ya Israel kuendelea kuisambaratisha Gaza ili ibaki vifusi vitupu!Ila zamani tulimezeshwa matango haswa!
Mtu hawezi kuamini Israel Ile tuliofundishwa ndo ingeshindwa kiwajua mateka walipo
waja ujinga magaidi wa hamas ndo walimua.Ameuawa na IDF, nasubiri wazayuni weusi kama watapanic
Na israel itawatapika wapalestina 13000 waliyowaua kwa kutoa hao 60. 13000 - 60 = __ inabakia ngapi wewe. Acheni ubaradhuli kushabia uharamia wa lile jambazi netanhahu.Hamas lazima itawatapika hao mateka 60!
Vita haina macho,Taarifa ndio Hiyo
Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF
Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha
Source Al jazeera news
Israeli ndio marekani yenyeweUgomvi wa Israel Hamas makubaliano yanafanywa na Marekani
OK.Yule ni shabiki tu
Hujui maana ya mijadala, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo na mtazamo wakeSiyo lazima kila thread uchangie, ukiona kitu kinakuzid uelewa kaa kimya.
Nashukuru kwa ufafanuziWapalestina wengi na Waisrael wengi ni raia wa Marekani na Chile
Kweli kabisaHujui maana ya mijadala, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo na mtazamo wake
Hicho ulichouliza inaonekana hujui lolote, hao Waarabu wenyewe ndio usiku kucha wanaipigia magoti Marekani iingilie kati.Hujui maana ya mijadala, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo na mtazamo wake