LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Pole Sana,zipo nyingi mno hizo,mpaka netanyahu kakubali kukaa mezaninna Hamas ujue mambo yamefika shingoni
Hebu tuambie zinaonyeshwa na channel gani? Lini Netanyahu amekubali kukaa mezani na Hamas?

Mimi nimeona BBC kiongozi wa Hamas akieleza jinsi Qatar ilivyofanikisha mazungumzo ya kusitishwa mapigano kusini mwa Gaza na kuachiwa Wapalestina zaidi ya 300 kwa kubadilishana na mateka wa Israel.
 
⚡️Al-Qassam walichapisha matukio kutoka kwa ufuatiliaji wa wapiganaji wao na kufuatiwa na kuwavizia askari waliovamia katika eneo la Juhr Al-Dik, kusini mashariki mwa eneo la Zaytun.
 
Idf wanakufa, sema media za magharibi zinaficha tu

Vita ya ardhini ni zero kabisa hao jamaa, hata wapiga matofali wanawamudu vizuri tu
Kupigana na mtu ambaye yuko field kila siku ni kazi sana idf wengi Ni reserve hawako train kukabiliana na commandos wa hamasa, watapukutishwa Sana. Hata wanajeshi wa USA siyo wazuri kwenye face to face wanasaidiwa sana na ndege na vifaa bora walivyo navyo. Sasa IDF kwenye Urban combat watachinjwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…