LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Acheni ushabiki, marekani amekaa miaka 20 Afghanistan wanakadiriwa kuuawa watu elfu 70, Israel ndani ya mwezi mmoja wameua watu elfu 20, aisee vita sio vya kushabikia usiombe yatokee sehemu ulipo na familia yako
 
Unalalamika nini sasa?

Sijlalamika, nahamasisha kila yeyote asiye wa dini ile waache kulalamikia Israel maana inapambana na magaidi ya dini yasiyo na huruma kwa watoto.
Israel iachwe ifanye usafi pale Gaza.
 
Sijlalamika, nahamasisha kila yeyote asiye wa dini ile waache kulalamikia Israel maana inapambana na magaidi ya dini yasiyo na huruma kwa watoto.
Israel iachwe ifanye usafi pale Gaza.
Hata hamas anafanya usafi israel. Kwa hyo waachwe na wao
 
huyu anaeleta mada hizi wala hajui utadhani analipwa na hao mayahudi kusambaza hiyo. Haya na alete na picha za watoto waliouwawa na hao yahudi katika mwezi huu uliopita tu tulinganishe.

Wewe leta hao unaotaka wewe, ila hamuwezi kuchinja watoto wa Wayahudi halafu mtegemee wa kwenu wapewe pipi...
 
Sasa aliyechukuwa watoto wakiwa hai na kuwaweka kizuizini na anayeua watoto nani ni katili?

Hamas ameteka waisraeli miongoni mwao wapo watoto wakiwa na wazazi wao,,
Sasa ulitaka ateke wazazi halafu watoto wamwachie nani?
 
Pitia vidoes za walichoku wanafanya HAMAS kisha uje uandike upya, ila kama wewe wa dini ile hata uone nini utaendelea kuwasifia.
 
Sasa aliyechukuwa watoto wakiwa hai na kuwaweka kizuizini na anayeua watoto nani ni katili?

Hamas ameteka waisraeli miongoni mwao wapo watoto wakiwa na wazazi wao,,
Sasa ulitaka ateke wazazi halafu watoto wamwachie nani?
Na israel imeua watekaji miongoni mwak wapo watoto wakiwa na wazazi wao.... Ngoma draw.... Mchezo uendelee
 
Huyu jamaa ndo alikua cheo cha juu kabisa jeshini na tena alikua kamanda wa vikosi maalum vya operesheni vya kijeshi ameuliwa huko Gaza.

[emoji599][emoji599]A painful night hangs over Tel Aviv
After confirming the death of the commander of the Special Operations and incursions Brigade, General "Irwin Baran", his departure is a fatal blow to Netanyahu, as he is considered the spearhead of the occupation army.
#Isreal
#TelAviv

Israel only negotiates once it begins taking losses in the battlefield.

Tonight, it has been reported that General Irwin Baran, of the Israeli Special Operations and Incursions Brigade, has been laid to rest by the Gazans.

May his memory be a reminder that illegal occupation has consequences - and may it plant seeds of peace and humanity into genocidal Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…