LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Are you a Black Palestinian and Pro Hamas?
None of the above, i just don't by the bullshit that Israelis are choosen people and they can do whatever they want in the name of promised land.

As long as they bleed just like other human beings, occasionally and randomly they will feel the test of their own medicine, like today i saw those soldiers who used to brag inside markava cry cowardly when they got caught by hamas.

🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
 
Daah nawahurumia watoto na wanawake wa Paleatina.

Hamas wamewatia ktk janga.
 
Moja kati ya matakataka.
 
Mzayoni wa kintunku acha uchizi
 
Sivyo hivyo. Kuna uwezekano wamewawachia makusudi wajipenyeze ili waufute ukanda wa Gaza kwenye ramani ya dunia. Kama walivyoifuta asilimia 90 ya Palestina.

Unafikiri Gaza patakalika tena?
Kwahio hamas wametegewa sumu na wao wameilamba kinachofuatia ni umauti
 
Mwendo wa kuwabaka hamas gizani sasa
 
Limelaani wa Taifa la Israel pamoja na kizazi chao .. Allah awape subira waislam wa palestine ..
 
israeli itoe tangazo kwa raia wema watoke haraka eneo hilo, atakayekaidi agizo hilo atakabiliana na hatari ya mvua ya mashambulizi toka kwake kama ndio kikundi hicho kinatumia raia kujikinga.
 
Just in: The Israeli military giving civilians in Gaza very specific evacuation instructions. Telling them to move deeper into the strip in multiple areas. It appears Israel will soon start a heavier ground and/or air response.
 
Just in:The Hostage Situation in the City of Ofakim has finally Ended with the Hostages being Saved by Special Tactics Teams and the Terrorists having been Eliminated; 2 Soldiers were Lightly-Injured during the Operation.
 
Hivi yule mzee wa wapigwe tu huku kwetu akiona yanayoendelea huko ME atarudia tena kutamka maneno yale!!!

Unafananisha ME na TZ , ME huko toka watoto uwe syria, palestine, iraq na israel kwao nchi(land) ni kitu cha thamani sana wako tayari kufa kwa ajili ya ardhi yao. Visasi vimo ndani ya mioyo yao na wanapitia mengi kama sio dada, kaka, mjomba, mama , baba yaani ndugu kwa ujumla wamepoteza kutokana na vita.

Huku vijana wapo muda wote wanavuta shisha na kucheza amapiano they dont have even a leap of courage to face anything .

Fuatilia hawa wazee wa saivi ambao ndo vijana wa 1964-1984 atleast walikua na courage kuna matukio mengi yamefanyika kipindi hicho ni vijana . Kumetokea majaribio ya mapinduzi kibao,kina kambona kumpinga JKN mpaka kutoroka nchi na mengine mengi kina malima kina kolimba hawa atleast waliishi kwa misimamo ya kile walichokiamini.

Ndo maana unaona vijana wa zamani ambao wamebahatika kushika madaraka mpaka sasa bado wanayo hayo madaraka au wanarithishana na watoto kwa wajukuu mpaka vitukuu vyao. Hii ni kutokana na kukosa challenge kutoka kwa vijana , zaidi sana vijana wamekuwa machawa tu

NB. Naandika nikiwa na chupa ya 9 ya heinken mkononi sijuii ndo nimeanza kulewa[emoji38].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…