LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
✍️✍️✍️🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😂😂😂😂😂😂Magaidi yote yalambwe shaba
 
Serikali ya Netanyau ilitumia uwepo wa Hamas kudhoofisha nguvu za mamlaka ya Palestine (PA).

Kwa sasa wanapigana ili kuifuta, too late....

 
Mkiristo yoyote akifa akiwa mkiristo ataunguzwa sana ktk moto na ataomba arudishwe duniani ili aingie ktk uislam
Shwaini kabisa we mfuasi wa marehemu Muddy!

Mmejitwalia haki kabisa siyo? Na wengine wenye imani tafauti ndo wadhambi? Hell awaits u jini maimuna.
 
Wanaukumbi.

‎⚠️⁦‪#GazaGenocide‬⁩ ⚠️
‎This is happening now in Jabalia Camp in northern Gaza:
‎Civilians who are isolated are being taken away from their children and wives in shelter centers, then stripped of their clothes, and subjected to torture, execution, without any charges other than being above 15 years old and Palestinians from Gaza.
‎===============
⚠️#Mauaji ya Gaza ⚠️
Haya yanajiri sasa katika Kambi ya Jabalia kaskazini mwa Gaza:
Raia ambao wametengwa wanachukuliwa kutoka kwa watoto wao na wake zao katika vituo vya makazi, kisha kuvuliwa nguo zao, na kuteswa, kunyongwa, bila mashtaka yoyote isipokuwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 15 na Wapalestina kutoka Gaza.


View: https://x.com/mariamrobly/status/1732778457396875477?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
1701974075589.png
 
Waache wawatese hadi wawakamue mavi kwakua wanawaficha magaidi
Israel media did not show the mass murder of Palestinian children and innocent civilians, or the mass destruction of Gaza. But Israeli media has no qualms about showing these savage images of Israeli occupation forces detaining and stripping civilians taken from a UN shelter in Gaza today. This evokes some of humanity’s darkest passages of history. It is well past time that the world speaks as one and demands - and enforces - an immediate and permanent #ceasefire.
 
Baada ya kuona dunia inazidi kukataa uongo wao wamesema hivi.

🚨 BREAKING: IDF ADMITS TODAY'S MASS ARRESTS ARE NOT NECESSARILY HAMAS

In a statement, the IDF spokesman states that the IDF arrested Palestinians who may not be part of Hamas, as they were in Hamas hotspots.

The detainees will be interrogated to investigate who is and isn't linked to Hamas.

Full Statement by IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari:

"Jabaliya and Shejaiya are 'centers of gravity'... for terrorists, and we are fighting them. They are hiding underground and come out and we fight them.

Whoever is left in those areas, they come out from tunnel shafts, and some from buildings, and we investigate who is linked to Hamas, and who isn't.

We arrest them all and interrogate them."

Source: Times of Israel
😂😂
 
Wamejichanganya wamemkamata mpaka muandishi wa habari😂
 

Attachments

  • IMG_7619.jpeg
    IMG_7619.jpeg
    66.9 KB · Views: 5
  • IMG_7618.jpeg
    IMG_7618.jpeg
    47.9 KB · Views: 5
Simply wameshindwa vita wanatapatapa na haitasaidia vita haitasimama mpaka ifahamike nani ni nani.
 
Waizraeli wako sahihi kuwahenyesha hao wavaa vipedo na makobazi.Magaidi wa hamas wakivua maguo yao yanayofunika sura wanakuwa raia wa kawaida. Acha idf wafanye msako wao.Kama mtu hausiki ataachiwa!
 
Waizraeli wako sahihi kuwahenyesha hao wavaa vipedo na makobazi.Magaidi wa hamas wakivua maguo yao yanayofunika sura wanakuwa raia wa kawaida. Acha idf wafanye msako wao.Kama mtu hausiki ataachiwa!
Wewe mvaa nini msalaba wa mbao kilo 2.
Mabasha zako wamekigeuka propaganda imegoma😂

BREAKING: ISRAELIS ADMITS TODAY'S ARRESTS WERE NOT HAMAS

In a statement, the Israeli spokesman states that Israel arrested Palestinians who may not be part of Hamas, as they were in Hamas hotspots.
 
Waache wawatese hadi wawakamue mavi kwakua wanawaficha magaidi
⚡️Military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Ubaida:

“During the last 72 hours, the Qassam Mujahideen were able to completely or partially destroy 135 military vehicles on all fronts of the fighting in the Gaza Strip, and left dozens of Zionist soldiers dead and wounded after blowing up a number of tunnel openings and houses belonging to enemy soldiers after booby-trapping them and targeting the Zionist forces penetrating into places of concentration and positioning. They fired anti-fortified shells, missiles, and anti-personnel devices and clashed with them from zero distance. They also destroyed military concentrations with mortar shells and short-range missiles, and directed intense missile barrages at various targets and with different ranges into the Zionist entity.”
 

Attachments

  • IMG_7621.jpeg
    IMG_7621.jpeg
    39.1 KB · Views: 4
Watu wengi humu hii vita wanagawana pande za kutetea.

Mimi binafsi sipendezwi na haya yanayofanyika Kama kweli hivi vitu Israel wanafanya na Hakuna dunia inaweza fanya kuzuia zaidi ya kuongea tu. Hawa watu wanakitu kinawapa jeuri.

Wataalamu tu wa mambo wanisaidie sifahamu.

HAMAS ni kundi la wapigania uhuru ndani ya Palestine? Na Kama ndio
Palestine hawana jeshi?

Mwenye historia nipo kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom