Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Wanasubir waandish habar wapate picha za kutosha ndio timbwil lianzeVp IDF wameshamchukua huyo kiongozi wa Hamas? Au bado wamezingira nyumba wayajenge kwanza
Shwaini kabisa we mfuasi wa marehemu Muddy!Mkiristo yoyote akifa akiwa mkiristo ataunguzwa sana ktk moto na ataomba arudishwe duniani ili aingie ktk uislam
Hats mbowe aliitwa gaidi na hivi karibuni kesi yake itarudishwa tenaWaache wawatese hadi wawakamue mavi kwakua wanawaficha magaidi
Israel media did not show the mass murder of Palestinian children and innocent civilians, or the mass destruction of Gaza. But Israeli media has no qualms about showing these savage images of Israeli occupation forces detaining and stripping civilians taken from a UN shelter in Gaza today. This evokes some of humanity’s darkest passages of history. It is well past time that the world speaks as one and demands - and enforces - an immediate and permanent #ceasefire.Waache wawatese hadi wawakamue mavi kwakua wanawaficha magaidi
Wewe mvaa nini msalaba wa mbao kilo 2.Waizraeli wako sahihi kuwahenyesha hao wavaa vipedo na makobazi.Magaidi wa hamas wakivua maguo yao yanayofunika sura wanakuwa raia wa kawaida. Acha idf wafanye msako wao.Kama mtu hausiki ataachiwa!
⚡️Military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Ubaida:Waache wawatese hadi wawakamue mavi kwakua wanawaficha magaidi
Kama kweli unaamini kuwa hii ni vita kawaambie Hamas wavae uniforms na waingie mtaani na waache kujifichaficha ktk civilian shielding approach kama kweli wanaume. Waache kuviziaSimply wameshindwa vita wanatapatapa na haitasaidia vita haitasimama mpaka ifahamike nani ni nani.