Kuna mashetani yako Hollywood yameshapata stori. Tutegemee movieKama muvi vile kumbe laiv
Kwani lengo la kuanzishwa uzayuni si ndiyo ilikuwa movement ya kurudi katika ardhi yao na kuanzisha taifa lao huo mwaka? Kwa kifupi ni kwamba israel iliteka eneo hilo la gaza na kuwatimua magaidi wakatafute nchi ya kuishi kama hawataki kutulia na kulinda amaniHuo ni uongo wa wazi kabisa.
Taifa lenyewe la Israel limeanzishwa mwaka 1948.
Amani itatoka wapi mkuu 'Proved'.Amani itawale mashariki ya Kati...
Ndicho wanachokwenda kufanya kwa sasa Mark ma wordsMarw nyingi wamekua wakipokea kichapo kutoka Gaza maloket na makombora yote huwa yanatokea huko !! nadra sana usikie yanatokea West bank!!…
Ukiangalia Gaza ni sehemu ndogo sana!! Kwann haka kaeneo wasi kaa ANNEX wawaachie west bank!!
NB: siku za mwanzo niliwai soma kua kuacha pande mbili yaan gaza na main palestina ilikua ni njia ya kuwagawanya!!!
Kama mnajua ile sheria ya “DIVIDE and RULE” ndo ilikua inatumika hapa.
Hamas wamelipa kisasi lakini mashambulio ya kulipiza kisasi n wananchi ndio wataolipa hyo gharama!!
Kama 9/11. Sumu kama hiyo usifikiri itawaondowa Hamas tu.Kwahio hamas wametegewa sumu na wao wameilamba kinachofuatia ni umauti
Hakuna "war tactics" hapo. Kuna "invasion".Mama hio sasa ndo inaitwa "War tactics"-You leave the enemy think he has the upper hand.
Sidhani kama ni kweli, ila kama ni kweli bac wameingia kweny mtego wao.
Na hio sio sababu ya kuwatetea kwa sababu hawajashikiwa bunduki na mossad, wamefanya hayo mambo wao wenyew.
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel.Acha story za vijiweni hizo wewe, Ashkenazi Ashkenazi, nyie ndiyo mlienda kuwatoa Ulaya na kuwapeleka kule?
Israel walikuwepo pale wayback, na hata wakati Wapalestina wanatawala pale, Israel walikuwepo na ndiyo walikua wanapambana warudishiwe ardhi yao. Hata style ya kujilipua waisrael ndiyo walikua wanaitumia kabla ya huo mwaka taifa lao lilipoanzishwa.
Danganyaneni na wengine huko, lakini msije humu kutudanganya sisi baba zenu kiumri na kimaarifa
Hilo la kukatiwa umeme wapalestina halijaanza leo wala jana. Kichapo alichochezea myahudi hilo la umeme mbona kachelewa sana? Kachanganyikiwa?Hali unazidi kuwa mbaya Ukanda wa Gaza na sasa eneo hilo liko Gizani huku mapigano yakiendelea
Netanyahu asema atatumia silaha zake zote kuhakikisha anawaangamiza Hamas
Awaita Wapinzani kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa dharura
Israel yaita Jeshi lake la akiba kukaa Mguu Sawa
Source: Al jazeera news
😁We nadhani unajua Mapenzi yangu yalivyo kindakindaki Kwa Ukraine,Na wewe unataka wanyooshwe? Mbona hujataka Ukraine wachapwe🤣
Ugomvi wa ndugu unakuwaga kabambe sanaIsrael PM Netanyahu"we will turn Gaza into an island of rubbles"
Raia, wa, Gaza waambiwa waondoke haraka especially eneo LA mpaka ni,
Commando Netanyahu, ana, jambo lake Gaza.
Ila Hamas armed brigade, Qasssam brigade, wapo vzr hii operation Yao ya Al aqsa flood, ni "shock and wave, they caught Israelis by surprise.
Sasa wasubili " Scochted earth operation za wayahudi,
Daaa watoto wa baba mmoja, wameamua kukiwasha.
Lazima kulikuwa na intelligence failure,
Wameambiwa waingie tu gaza, watu hilo walikuwa wanalisubiri.Israel PM Netanyahu"we will turn Gaza into an island of rubbles"
Raia, wa, Gaza waambiwa waondoke haraka especially eneo LA mpaka ni,
Commando Netanyahu, ana, jambo lake Gaza.
Ila Hamas armed brigade, Qasssam brigade, wapo vzr hii operation Yao ya Al aqsa flood, ni "shock and wave, they caught Israelis by surprise.
Sasa wasubili " Scochted earth operation za wayahudi,
Daaa watoto wa baba mmoja, wameamua kukiwasha.
Lazima kulikuwa na intelligence failure,