LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
The woman whose body was seen on video in the back of a pick-up truck driven by Palestinian terrorists to Gaza has been identified.

30-year-old Shani Louk was a German citizen visiting Israel to attend the music festival for peace held near the Gaza border fence.
20231008_025548.jpg
 
"Let me say this as clearly as I can.

This is not a moment for any party hostile to Israel to exploit these attacks to seek advantage.

My Administration’s support for Israel’s security is rock solid and unwavering" Biden.
 
🇬🇧RAF A400M hasn’t land in Amman at all but went on a mission over Syria 🇸🇾

GPS Jamming over Israel/Palestine is Top level today 🔥

IMG_20231008_025438.jpg
 
It appears Western weapons which were supposed to be shipped to Ukraine, ended up being sold on the black market to Hamas, who are now using them against Israeli forces.
 
Huo ni uongo wa wazi kabisa.

Taifa lenyewe la Israel limeanzishwa mwaka 1948.
Kwani lengo la kuanzishwa uzayuni si ndiyo ilikuwa movement ya kurudi katika ardhi yao na kuanzisha taifa lao huo mwaka? Kwa kifupi ni kwamba israel iliteka eneo hilo la gaza na kuwatimua magaidi wakatafute nchi ya kuishi kama hawataki kutulia na kulinda amani
 
BREAKING:

Netanyahu announces that Israel is starting a blockade of Gaza and will cut it off from all electricity, fuel and goods coming in from Israel
 
Amani itawale mashariki ya Kati...
Amani itatoka wapi mkuu 'Proved'.

Panapokuwepo kuoneana hata siku moja hapawezi kuwepo amani.

Mmoja anajiona mbabe, na mwingine, ni lazima akatae kuonewa.

Katika maswala ya aina hii, washangiliaji toka nje wanaoshangila upande wao ndio wasiokuwa na fikra kabisa.
Hapa hapawezi kuwepo na mshindi.

Israel hawezi kushinda, bila ya kuwamaliza Hamas wote, jambo ambalo haliwezekani.
 
Marw nyingi wamekua wakipokea kichapo kutoka Gaza maloket na makombora yote huwa yanatokea huko !! nadra sana usikie yanatokea West bank!!…
Ukiangalia Gaza ni sehemu ndogo sana!! Kwann haka kaeneo wasi kaa ANNEX wawaachie west bank!!


NB: siku za mwanzo niliwai soma kua kuacha pande mbili yaan gaza na main palestina ilikua ni njia ya kuwagawanya!!!

Kama mnajua ile sheria ya “DIVIDE and RULE” ndo ilikua inatumika hapa.

Hamas wamelipa kisasi lakini mashambulio ya kulipiza kisasi n wananchi ndio wataolipa hyo gharama!!
Ndicho wanachokwenda kufanya kwa sasa Mark ma words
 
Mama hio sasa ndo inaitwa "War tactics"-You leave the enemy think he has the upper hand.

Sidhani kama ni kweli, ila kama ni kweli bac wameingia kweny mtego wao.

Na hio sio sababu ya kuwatetea kwa sababu hawajashikiwa bunduki na mossad, wamefanya hayo mambo wao wenyew.
Hakuna "war tactics" hapo. Kuna "invasion".
 
Acha story za vijiweni hizo wewe, Ashkenazi Ashkenazi, nyie ndiyo mlienda kuwatoa Ulaya na kuwapeleka kule?
Israel walikuwepo pale wayback, na hata wakati Wapalestina wanatawala pale, Israel walikuwepo na ndiyo walikua wanapambana warudishiwe ardhi yao. Hata style ya kujilipua waisrael ndiyo walikua wanaitumia kabla ya huo mwaka taifa lao lilipoanzishwa.
Danganyaneni na wengine huko, lakini msije humu kutudanganya sisi baba zenu kiumri na kimaarifa
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel.
 
Hali unazidi kuwa mbaya Ukanda wa Gaza na sasa eneo hilo liko Gizani huku mapigano yakiendelea

Netanyahu asema atatumia silaha zake zote kuhakikisha anawaangamiza Hamas
Awaita Wapinzani kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa dharura

Israel yaita Jeshi lake la akiba kukaa Mguu Sawa

Source: Al jazeera news
Hilo la kukatiwa umeme wapalestina halijaanza leo wala jana. Kichapo alichochezea myahudi hilo la umeme mbona kachelewa sana? Kachanganyikiwa?

Vijana wa Kipalestina japo wachache lakini bado wapo ndani ya miji ya Israel na wanaendeleza kutuma makombora ya kutengeneza sido.

Israel nchi nzima wameambiwa wajifungie kwenye mashimo ya kujikinga na mabomu kwa masaa 48, kula kunya kulala humohumo mashimoni kama panya.

Huko kuna tanesco.
 
Israel PM Netanyahu"we will turn Gaza into an island of rubbles"
Raia, wa, Gaza waambiwa waondoke haraka especially eneo LA mpaka ni,
Commando Netanyahu, ana, jambo lake Gaza.
Ila Hamas armed brigade, Qasssam brigade, wapo vzr hii operation Yao ya Al aqsa flood, ni "shock and wave, they caught Israelis by surprise.
Sasa wasubili " Scochted earth operation za wayahudi,
Daaa watoto wa baba mmoja, wameamua kukiwasha.
Lazima kulikuwa na intelligence failure,
 
Waisrael imeanza kuwanyeeshea tena usiku huu, sasa hivi waziri wao wa ulinzi kaomba msaada kwa nchi za magharibi ziwaongezee ulinzi wa mabomu ya mbali, hususan misail za sido za wapalestina.

Vijana wa ikipalestina wamerusha kama drone mbili, wayahudi wanshangaa wamezitowa wapi? Inasemekana hizo nazo wanaziunda sido ya gaza.
 
Na wewe unataka wanyooshwe? Mbona hujataka Ukraine wachapwe🤣
😁We nadhani unajua Mapenzi yangu yalivyo kindakindaki Kwa Ukraine,
Hao Palestinian wanyukwe tu wanaleta ujuaji sana
 
Nimeangalia kwny Tv station moja,da!Hawa jamaa walijipanga mda mrefu na kufanya mafunzo ila ni kuomba Mungu yasitokee mauaji hasa kwa raia wasio na hatia hususani kinamama na watoto maana yajayo yanahuzunisha
 
Israel PM Netanyahu"we will turn Gaza into an island of rubbles"
Raia, wa, Gaza waambiwa waondoke haraka especially eneo LA mpaka ni,
Commando Netanyahu, ana, jambo lake Gaza.
Ila Hamas armed brigade, Qasssam brigade, wapo vzr hii operation Yao ya Al aqsa flood, ni "shock and wave, they caught Israelis by surprise.
Sasa wasubili " Scochted earth operation za wayahudi,
Daaa watoto wa baba mmoja, wameamua kukiwasha.
Lazima kulikuwa na intelligence failure,
Ugomvi wa ndugu unakuwaga kabambe sana
 
Israel PM Netanyahu"we will turn Gaza into an island of rubbles"
Raia, wa, Gaza waambiwa waondoke haraka especially eneo LA mpaka ni,
Commando Netanyahu, ana, jambo lake Gaza.
Ila Hamas armed brigade, Qasssam brigade, wapo vzr hii operation Yao ya Al aqsa flood, ni "shock and wave, they caught Israelis by surprise.
Sasa wasubili " Scochted earth operation za wayahudi,
Daaa watoto wa baba mmoja, wameamua kukiwasha.
Lazima kulikuwa na intelligence failure,
Wameambiwa waingie tu gaza, watu hilo walikuwa wanalisubiri.

Wapalestina walioingia israel alfajiri ya jana wamerudi na mateka wa kiyahudi wapo nao gaza, wamewaambia kina netanyahu rusheni mabomu yenu kwa ndege muwauwe wenyewe ndugu zenu.

Kimbembe.
 
Back
Top Bottom