Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri propaganda mfu kama hizi haziwezi kuwasaidia Wapalestina na HAMAS kwa ujumla.Israel yafanya shambulio la kigaidi Beirut na kumuua moja viongozi wa HAMAS Saleh al-Arouri,
Saleh al-Arouri alikuwa Naibu Rais wa HAMAS, na kiongozi wa Mkuu wa hamas katika eneo la West Bank huko gaza.
Saleh al-Arouri ameisha wahi kukamatwa zaidi ya mara nane na jeshi la Israel, na ameisha wahi kufungwa kwa miaka zaiid ya 18 kabla ya kuachiwa huru na kuamua kuondoka gaza. Mara ya mwisho kuishi gaza ilikuwa mwaka 2010 na hakuwa kurudi baada ya hapo.
Kikundi cha kishia cha hizbollah kilionya Israel kuwashambulia raia wa nchi yeyote ile walioamua kwenda kuishi Lebanon, huenda ugaidi huu unafanya vita ya israel kutanuka zaidi na kuwa sio vita ya gaza pekee bali na makundi mengine nje ya gaza kuingilia.
Wakati hili likiendelea waziri Mkuu wa israel amewataka Mawaziri waje wasiseme chochote, hata hivyo Washington Post imeripot mda machache uliopita kuwa israel ndio imefanya shambulio hilo.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanadai kuwa , Netanyahu anajaribu kutafuta ushindi baada ya kushindwa kufikia malengo ya vita kule gaza ili kupunguza msukumo wa raia wa israel dhidi yake ili kuendelea kutetea kitivo chake.
Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote.Nafikiri propaganda mfu kama hizi haziwezi kuwasaidia Wapalestina na HAMAS kwa ujumla.
Israel inashindwaje sasa vita wakati kila siku majeshi yake yanafanikiwa kuwaua viongozi wa kundi la Hamas pamoja na kuidhoofisha miundombinu yao ya kijeshi??????
Hii Israel tuliyoaminishwa kipindi tupo gizani siyo hii tunayoiona kwa kweli, hii tunayoiona inapigana na Hamas yaweza kupigwa hata na jeshi la msumbiji.Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote.
Kuvunja miundo mbinu ya hamas
Kuwakata viongozi wote hamas.
Hadi sasa hakuna liliotimia bado ,huenda yattamia yote ila muda waliochukua ni zaidi ya matarajio, manzoni walisema itachukua wiki tu kufikia malengo saiz tunaenda mwezi wa tatu mambo bado
Sasa mbona kwenye historia Inaonesha kuwa dini iliyo uwa watu wengi katika kuenezwa kwake ni ukrisito kupitia vita ya msaraba ?IaNchi zote za Kiisalam Mashariki ya Kati na North Africa zilikuwa za Kiisalam kwa Ncha ya upanga
Africa Ukristo uliletwa na Wapelelezi, Uislam Africa uliletwa na wauzaji wa watumwaSasa mbona kwenye historia Inaonesha kuwa dini iliyo uwa watu wengi katika kuenezwa kwake ni ukrisito kupitia vita ya msaraba ?
Na ukrisito Africa uliingizia kwa njia ya wapelelezi wa kimisionari Inamaana Ukristo uliingizwa kwa lengo la kufanikisha uovu wa kikoloni.
Kwa nini mnalenda uwongo? Israel haikuwahi kutamka muda itakaotumia kufikia malengo yake.Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote.
Kuvunja miundo mbinu ya hamas
Kuwakata viongozi wote hamas.
Hadi sasa hakuna liliotimia bado ,huenda yattamia yote ila muda waliochukua ni zaidi ya matarajio, manzoni walisema itachukua wiki tu kufikia malengo saiz tunaenda mwezi wa tatu mambo bado
Kwanza umekili kuwa Ukrisito ulienzlezwa kwa mauaji ya mamilioni ya watu?Africa Ukristo uliletwa na Wapelelezi, Uislam Africa uliletwa na wauzaji wa watumwa
Hii itafikiwa soonMossad kuleni hii kichwa mapema middle east itulie 🙏🙏
View attachment 2860449
Utasemaje gaza haiongozwi na Hamas hali ya Israel mpaka sasa inadhibiti %30 tu na penyewe ndo sehemu mapigano yalipo?Kwa nini mnalenda uwongo? Israel haikuwahi kutamka muda itakaotumia kufikia malengo yake.
Lengo lake kuu walisema ni kuhakikisha Hamas inaangamizwa, na Gaza haitaongozwa tena na HAMAS. Mpaka sasa, HAMAS haijaangamizwa lakini hatujui kama haitaangamizwa. Mpaka sasa Gaza haiongozwi na HAMAS, lakini hatuna uhakika kama huko mbeleni haitakuja kuongozwa na HAMAS. Je, Israel haitafanikiwa katika malengo yake? Jibu tusubiri mpaka wakati vita itakapokwisha.
Lakini huwezi kuangamiza kundi la kigaidi la HAMAS bila ya kuangamiza uongozi wake. Kama viongozi wa kundi la kigaidi la HAMAS wanaangamizwa basi ina maana Israel inaendelea kufanikiwa kwenye malengo yao.
Makao makuu ya biashara ya watumwa yalikuwa wapi Africa mashariki?Kwanza umekili kuwa Ukrisito ulienzlezwa kwa mauaji ya mamilioni ya watu?
Sasa hao wapelelezi si ndo walikuja kuwa wanunuzi wakubwa wa hao watumwa huku madalali wao wakiwa waraabu?
Sasa hivi naona ume hama kwenye dini kuenezwa kwa mauaji umehamia kwenye biashara ya utumwa.Makao makuu ya biashara ya watumwa yalikuwa wapi Africa mashariki?
Kuwa n akili kidogo,Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote.
Kuvunja miundo mbinu ya hamas
Kuwakata viongozi wote hamas.
Hadi sasa hakuna liliotimia bado ,huenda yattamia yote ila muda waliochukua ni zaidi ya matarajio, manzoni walisema itachukua wiki tu kufikia malengo saiz tunaenda mwezi wa tatu mambo bado
Naona uchizii wako umegeuka kuwa ukichaaa ndugu zako wanajua hilo kwamba umekuwa kichaa mkuu wakupeleke mirembe fastaa,,,Hamas waliweka mtego muda mrefu kuwa Mazayuni waingie mpaka ndani kisha wawabane. Kama kicheche anavyotanua nyuma sehemu yake ya haja ili kuku adonoe kisha ambane kichwa.
Sasa Wazayuni wameyatimba Majemedari wa Hamas wanasema leo ndo wanaenda wamaliza hawa Mazayuni. Wamewavumilia sana. Sasa ndo mwisho wao.
Wakati huo huo wanajeshi wote wa Israel wamepatwa na mapunye, wanaumwa matumbo na wamekuwa vichaa. Wanakimbia tu mitaani hovyo huku wanakufa kama Kumbikumbi.
Iran imeshatuma makombola ya Nyuklia, Yemen imetuma drones zake,Lebanon imetuma Mivifaru ya kufa mtu. Somalia, Sudan na Egypt nazo hazipo nyuma. Hali ni tete hamtawaona tena Mazayuni hawaNaoN