LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hivi hawa jamaa bado wananyooshana tu. Nilikua na bidii kuwafuatilia mwanzoni..saizi hata sielewi wapi wamefikia
 
Nafikiri propaganda mfu kama hizi haziwezi kuwasaidia Wapalestina na HAMAS kwa ujumla.
Israel inashindwaje sasa vita wakati kila siku majeshi yake yanafanikiwa kuwaua viongozi wa kundi la Hamas pamoja na kuidhoofisha miundombinu yao ya kijeshi??????
 
Ukiachana na Al-Arouri waliouwawa wengine ni
Al-Qassam Commander Samir Fendi
Al-Qassam Commander Azzam Al-Aqra
Muhammad Al-Rayes
Muhammad Bashasha
Ahmed Hammoud


Walikuwa Beirut wakifanya kikao cha siri wawakilishi wa vikundi kadhaa. Al-Arouri ni mojawapo ya waanzilishi wakuu wa brigade ya kijeshi ya Hamas
 
Nafikiri propaganda mfu kama hizi haziwezi kuwasaidia Wapalestina na HAMAS kwa ujumla.
Israel inashindwaje sasa vita wakati kila siku majeshi yake yanafanikiwa kuwaua viongozi wa kundi la Hamas pamoja na kuidhoofisha miundombinu yao ya kijeshi??????
Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote.
Kuvunja miundo mbinu ya hamas
Kuwakata viongozi wote hamas.

Hadi sasa hakuna liliotimia bado ,huenda yattamia yote ila muda waliochukua ni zaidi ya matarajio, manzoni walisema itachukua wiki tu kufikia malengo saiz tunaenda mwezi wa tatu mambo bado
 
Hii Israel tuliyoaminishwa kipindi tupo gizani siyo hii tunayoiona kwa kweli, hii tunayoiona inapigana na Hamas yaweza kupigwa hata na jeshi la msumbiji.
 
IaNchi zote za Kiisalam Mashariki ya Kati na North Africa zilikuwa za Kiisalam kwa Ncha ya upanga
Sasa mbona kwenye historia Inaonesha kuwa dini iliyo uwa watu wengi katika kuenezwa kwake ni ukrisito kupitia vita ya msaraba ?

Na ukrisito Africa uliingizia kwa njia ya wapelelezi wa kimisionari Inamaana Ukristo uliingizwa kwa lengo la kufanikisha uovu wa kikoloni.
 
Africa Ukristo uliletwa na Wapelelezi, Uislam Africa uliletwa na wauzaji wa watumwa
 
Kwa nini mnalenda uwongo? Israel haikuwahi kutamka muda itakaotumia kufikia malengo yake.

Lengo lake kuu walisema ni kuhakikisha Hamas inaangamizwa, na Gaza haitaongozwa tena na HAMAS. Mpaka sasa, HAMAS haijaangamizwa lakini hatujui kama haitaangamizwa. Mpaka sasa Gaza haiongozwi na HAMAS, lakini hatuna uhakika kama huko mbeleni haitakuja kuongozwa na HAMAS. Je, Israel haitafanikiwa katika malengo yake? Jibu tusubiri mpaka wakati vita itakapokwisha.

Lakini huwezi kuangamiza kundi la kigaidi la HAMAS bila ya kuangamiza uongozi wake. Kama viongozi wa kundi la kigaidi la HAMAS wanaangamizwa basi ina maana Israel inaendelea kufanikiwa kwenye malengo yao.
 
Africa Ukristo uliletwa na Wapelelezi, Uislam Africa uliletwa na wauzaji wa watumwa
Kwanza umekili kuwa Ukrisito ulienzlezwa kwa mauaji ya mamilioni ya watu?
Sasa hao wapelelezi si ndo walikuja kuwa wanunuzi wakubwa wa hao watumwa huku madalali wao wakiwa waraabu?
 
Utasemaje gaza haiongozwi na Hamas hali ya Israel mpaka sasa inadhibiti %30 tu na penyewe ndo sehemu mapigano yalipo?
Israel vita imesha mshinda ila sasa anajitutua tu kwa malengo ya kisiasa hasa kwa upande ya Netanyau.
Hamas haiwezi kuangamizwa kwa kuuwa viongozi wake maana viongozi wao wengi sana wamesha uawa na haija wahi kufa zaidi ya kuimarika.

Hamas ni itikadi na njia nzuri ya kuishinda itikadi ni kuja na itikadi iliyo bora zaidi .
Ili Israel aishinde Hamas ni anahitaji kubadilisha sera zao zilizo jaa ukatiri na kujikweza kuliko pitiliza dhidi ya wapalestina na hili hata wanasiasa wengi ndani ya waisrael wameshalisema hili.

Israel ni razima ikubali ukweli kuwa dunia imebadilika sana hivo hana uwezo wa kuwadhibiti wapalestina kama alivyo kuwa anafanya miaka 20 au 30 iliyo pita kwa sababu sasa hivi teknolojia ya kijeshi imekuwa na imekuwa ya bei rahisi na kadili siku zinavyo enda hatoweza kabisa kuwadhibiti kabisa.
 
Kwanza umekili kuwa Ukrisito ulienzlezwa kwa mauaji ya mamilioni ya watu?
Sasa hao wapelelezi si ndo walikuja kuwa wanunuzi wakubwa wa hao watumwa huku madalali wao wakiwa waraabu?
Makao makuu ya biashara ya watumwa yalikuwa wapi Africa mashariki?
 
Makao makuu ya biashara ya watumwa yalikuwa wapi Africa mashariki?
Sasa hivi naona ume hama kwenye dini kuenezwa kwa mauaji umehamia kwenye biashara ya utumwa.

Wahusika wa biashara ya utumwa ni waarabuni na wazungu na machifu ambao walikuwa wamatumbi wenzetu.
Waarabuni alikuwa wanawahonga machifu cheni , viungo ,manukato badala yake wanawakamata waafrika wenzao wanawakabidhi kwa waarabu na waarabu wanaenda kuwauzia wazungu.
 
Kuwa n akili kidogo,

Israel haipigani na Hamas peke yake

IDF inapigana na makundi manne ya magaidi.

Hamas, Houthi, IraSyriaHezbolla
 
Hamas waliweka mtego muda mrefu kuwa Mazayuni waingie mpaka ndani kisha wawabane. Kama kicheche anavyotanua nyuma sehemu yake ya haja ili kuku adonoe kisha ambane kichwa.

Sasa Wazayuni wameyatimba Majemedari wa Hamas wanasema leo ndo wanaenda wamaliza hawa Mazayuni. Wamewavumilia sana. Sasa ndo mwisho wao.

Wakati huo huo wanajeshi wote wa Israel wamepatwa na mapunye, wanaumwa matumbo na wamekuwa vichaa. Wanakimbia tu mitaani hovyo huku wanakufa kama Kumbikumbi.

Iran imeshatuma makombola ya Nyuklia, Yemen imetuma drones zake,Lebanon imetuma Mivifaru ya kufa mtu. Somalia, Sudan na Egypt nazo hazipo nyuma. Hali ni tete hamtawaona tena Mazayuni hawa.
 
Naona uchizii wako umegeuka kuwa ukichaaa ndugu zako wanajua hilo kwamba umekuwa kichaa mkuu wakupeleke mirembe fastaa,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…