LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Dah..jamaa propaganda hazisaidii kitu
 
Juzi wameteaka wote walioshikiliwa na hamas wameua.leo tena wamewaokoa. Muislamu yoyote wakati anapigania ardhi yake hashindwi
 
Hakuna cha UN wala ICJ, muda huu Israel anafanya kweli aisee.

Na hapo ni kwa tahadhari sana maana Hamas wanatumia raia wema kama ngao
 
Baada ya kuipata ile data center walivyokuwa wameificha kwenye ofisi za umoja wa mataifa Sasa hivi maficho yote yapo wazi ni kujipigia tuu wapendavyo. Ramani yote ya mipango, sehemu walipo magaidi wanayo
 
Na wana teknolojia kali ya kudukua, wanatumia sana kudukua Mawasiliano na mataifa kibao, kudukulia iPhone moja ni Milioni 100,
 
Na wana teknolojia kali ya kudukua, wanatumia sana kudukua Mawasiliano na mataifa kibao, kudukulia iPhone moja ni Milioni 100,
Propaganda hizo. Unadhani hao ni wapinzani watz watushwa na mtu mmoja tu makondooo. Hao ni waislam.
 
Propaganda hizo. Unadhani hao ni wapinzani watz watushwa na mtu mmoja tu makondooo. Hao ni waislam.
Iphone ya gaidi iliyodukuliwa na FBI mwaka 2016 waliwatumia waisrael na walitema mtonyo mrefu wa dola Milioni 1.3
. Fikiria tu mpaka FBI wanashindwa inabidi walete vichwa kutoka Israel
 
Juzi wameteaka wote walioshikiliwa na hamas wameua.leo tena wamewaokoa. Muislamu yoyote wakati anapigania ardhi yake hashindwi
Haaaaaaaa, pole ndugu, endelea na ujinga wako huku ndugu zetu wapalestina wanaangamia, Rafah itakuwa na msiba mzito sana, una roho ngumu sana, unapofanya jambo lazima ufanye calculation kwanza baada ya kufanya hili tukio nitak??nitajilindaje? Nitamkabilije adui yangu? Sasa unashambulia halafu unaenda kujificha nyuma ya watoto na wanawake? Halafu unategemea adui yako akuhurumie! Au walitegemea Allah anapigana na jeshi la Israel? Mbinu ya human shield haisaidii chochote, Netanyahu alitangaza vita dhidi ya hamas, kwenye vita bomu likidondoka halichakui mtu. Misri amesema Hamas waachie mateka haraka sana ili Israel asishambulie Rafah, maana akishambulia rafah wapalestina watakimbilia Misri ndani ya wapalestina lazima na Hamas wajichanganye huku, na wakienda huku wanaweza kuungana na members wa Moslem brotherhood wakaanza kukinukisha huko Misri walishinikiza Misri ivunje mikataba ya amani na Israel ili waingie kwenye vita na wakati Misrian ajua fika hawezi kuishinda Israel kijeshi kwa vyovyote vile.
 
Baada ya kuipata ile data center walivyokuwa wameificha kwenye ofisi za umoja wa mataifa Sasa hivi maficho yote yapo wazi ni kujipigia tuu wapendavyo. Ramani yote ya mipango, sehemu walipo magaidi wanayo
Waliyatimba
 
Nahisi hapo Rafah ndipo walipo mateka na viongozi wa juu wa Hamas maana ukiwaona raia wamerundikana kwa wingi sehemu flani ujue wanafanya hivyo kwa manufaa ya Hamas ili wasishambuliwe.
Magaidi wa kizayuni mnatapa tapa tu nendeni mukawakomboe magaidi wenu acheni kuruka ruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…