LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Jamaa aliona isiwe tabu, hana haraka ya kuwafikia mabikira, na ametoa rai kwa wengine huko kwamba hamna cha kufia kwenye huu ugomvi, wajisalimishe tu.

=========

Senior Hamas Nukhba Brigade Commander Abu al-Baraa told the Shin Bet (Israel Security Agency) during interrogations on Thursday that he had a message for the remaining Hamas fighters, "I recommend everyone surrender, your fate is death."

The Shin Bet published parts of their investigation of Hamas operative Muhammad Nasir Suleiman Abu-Namr or Abu al-Baraa - who told them about the moments when he was captured and how he and his friends chose to lay down their arms and surrender.

Muhammad Netzer Suleiman, the leader of the special forces (Nukhba) in Khan Yunis is captured inside a tunnel by the Israeli army
 
hana haraka ya kuwafikia mabikira
Dini ya kipagani hii yenye kutamanisha watu kutoa nafsi zao kwa lucifer ili wakale pombe na ngono huko kuzimu na mashetani nonsense. Huyo aliye surrender ana akili sana.
 
Papa anaruhusu ushoga kama nani,kusema uongo na uzushi ni sehemu ya Uislam?
Acha kutetea ujinga wa wazungu. kakamutaweza baki na dini ya wazee wako wa Kiafrika ya kumwabudu Mungu Muumba wa kweli kupitia uumbaji wake. Papa kasema wanaofyatuana waje kanisani tuwabariki. hapo hajaruhusu ufiraji???
 
Hawa HAMAS walikua hadi kikosi cha polisi....wanafyekwa wote ili ipangwe upya wataishije.

577048


Three senior members of the Hamas police in Rafah were killed as a result of an attack on their vehicle in the Tel al-Sultan neighborhood, west of Rafah, according to Israeli media reports from Saturday afternoon.

Those killed are the director of investigations Ahmed al-Yakoubi, his deputy Ayman al-Rantisi, and Ibrahim Shatt.
 
Mkuu wa idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya,Josep Borrell ameungana na viongozi wa dunia kuikataza Israel kutoendeleza vita eneo la Rafah.Hofu yake kubwa ni kuwa kitendo hicho kitasababisha maafa yasiyosemeka na kutaleta hatari nyengine katika mahusiano na Egypt.
Akijibu makatazo hayo Netanyahu amesema anaheshimu sana mawazo ya Marekani kwamba inahitajika mipango thabiti ya eneo hilo lakini akamalizia kwa kusema atafanya tu. “We’re going to do it”.
 
Wadau hamjamboni nyote
Hatimaye mateka waanza kuokolewa

Operesheni iliyofanywa na IDF huko Rafah usiku huu imefanikiwa kuwakomboa mateka Wawil

======
Two hostages have been rescued from Gaza, Israel says
The Israeli military says it has rescued two hostages from captivity in the Gaza Strip.

It identified the men as Fernando Simon Marman, 60, and Louis Har, 70.

A joint operation by the Israel Defence Forces (IDF), Shin Bet security service and the Special Police Unit in Rafah freed the two men, the Israeli military said.

"It was a very complex operation," Israeli military spokesman Lt Col Richard Hecht said.

"We’ve been working a long time on this operation. We were waiting for the right conditions."
 
Hakuna tena wa kuwazuia kipiga Rafah... Duh Gaza ndio kwa heri tena.

Two Israeli hostages rescued during an overnight mission in Rafah.

During a joint operation between the IDF, ISA, and Israel Police, two Israeli hostages from Kibbutz Nir Yitzhak were rescued: Fernando Simon Marman (60) and Louis Har (70).

They are both in good medical condition and were transferred for further medical examination in Israel.
 
Back
Top Bottom