LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
America hana kelele nadhan jana umeona tamko lake
Tumeisha wazowea America na Israel kujisifu wamepiga target ku.be ha.na lolote wanarusha maboom tu 😄

Hayo maboom yote yameishia kwenye majabali hata Yemen wanwacheka target gani walizo piga hizo.

Tulizaneni muone Yemen akijibun ndio mtawafahamu wa Yemen hapo Red Sea America na Muingereza ndio wasahau kupita
 
Baadhi ya wayahudi wanaanza kuamka na kuutambua ukweli kwamba haijalishi Israel ana nguvu za kijeshi namna gani hatokaa aishi kwa amani kama ataendelea kuikalia ardhi ya majirani zake na kuamini nguvu za kijeshi zitamsaidia siku zote.
Screenshot_20240114-231012~2.png

 
Kama kichwa hapo juu kinavyoelezea Yupi taarifa zake ni sahihi kuhusu vita na migogoro ya mashariki ya kati hususani Israel[emoji1134] na hamas/Palestina[emoji1256] nifuatilie taarifa za nani kati ya MK254 na Alwaz maana Hawa wadau ukiingia tu humu Jf Lazima Ukutane na habari zao.

Kuhusu migogoro na vita za mashariki ya kati sasa Yupi yupo sahihi ili nizifuatilie habari zake hususani yule ambae haandiki habari za upande mmoja tu msaada tafadhari wana Jf maana MK254 na alwaz ni kama ndio MA reporter walio mstari wa mbele kuhusu vita za mashariki ya kati yani ukiingia tu lazima Ukutane na post zao.

View attachment 2874620
Screenshot_20240117-171103.jpg
 
Huwa nikipita kwenye preview ya thread nikiona imeandikwa na ndugu MK254 huwa sifungui kabisa thread hiyo. Huyo mwingine sijabahatika kumsoma sana
MK254 ni muongo na huwa sifungui nyuzi zake toka aseme IDF wanajaza maji kwenye mahandaki yakitokea baharini nimemuona ni mjinga wa kupuuzwa angalau ALWAZ anajitahidi
 
Hawa jamaa ni kama wameanza kuchanganyikiwa wameanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe
The Israeli military killed captive soldier Ron Sherman with poison gas, according to his mother

Maayan Sherman, mother of Ron Sherman, a captive Israeli soldier whose body was recovered from a tunnel in Jabalia refugee camp by Israeli forces in December, writes on Facebook that her son was killed by Israeli military poison gas, not by Hamas, as was originally claimed.

"The results of the investigation:
Ron was indeed murdered
Not by Hamas
Think more in the direction of Auschwitz and the showers but without Nazis and without Hamas as the cause
Not an accidental shooting
Not friendly fire
Premeditated murder
Bombs with poisonous gasses
Ron was kidnapped because of the criminal negligence of all the senior military and damned government officials who gave an order to eliminate him in order to settle a score with some terrorist from Jabaliya.
Oh yes, and they also found that he also had several crushed fingers, apparently due to his desperate attempts to get out of the poison grave that the IDF buried him in when he tried to breathe air but breathed only IDF poison.
My love.. May I die in your place.. What a nightmare you went through! Death in terrible agony! And all at the behest of the Israel Defense Forces, which you trusted and appreciated so much, and the government cabinet.
There is no future for this country if this is what they did to you after they abandoned you that Shabbat.
What was the decision if Bibi's son was there in the terrorist's tunnel or Gallant's grandson?? Or the son of Herzi Halevi?
Would they also have been poisoned with gas bombs?"
20240118_114359.jpg
 
screenshot_20240119_034943_us-newspapers-jpg.2876023


Kwenu wa Israel kutoka Ifakara, Namtumbo, Bonyokwa, Kakonko na pengine karibuni.
Kama mtoa misaada kanyoosha mikono hii ni hatari.

Ni sawa na mtu amekupiga mtama na kukukalia kwa juu alafu watu wa pembeni wanamwambia huwezi kumpiga huyo
 
screenshot_20240119_034943_us-newspapers-jpg.2876023


Kwenu wa Israel kutoka Ifakara, Namtumbo, Bonyokwa, Kakonko na pengine karibuni.
Kama mtoa misaada kanyoosha mikono hii ni hatari.

Ni sawa na mtu amekupiga mtama na kukukalia kwa juu alafu watu wa pembeni wanamwambia huwezi kumpiga huyo
 
Ungeongeza nyama kidogo, alimwambia lini?
na wapi?
Blinken ni nani?
Na sababu ya kumwambia hivyo ni nini?
Secretary of State Antony Blinken told Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu last week that Israel cannot defeat Hamas — that there is no “military solution,” and that Israel will have to accept a Palestinian state. Netanyahu reportedly rejected the idea.

Nime copy unahitaji source?
 
Back
Top Bottom