LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Taarifa nyingi xina ukweli. Nime share taarifa yao ikisema waliouawa ni 9, ila mleta mada kaleta taarifa tofauti akidai imeandikwa na hao ak7dai waliuawa ni 100, wakati waliuawa ni 9 waliuawa kwenye mlipuko uliotokea kwenye factory ya silaha Hamas
View attachment 2866836
Mimi sipo kwa mtoa mada mzee tuelewane tuuu
Mimi nipo kwenye hio page achana na mtoa mada
Hii page kule imepigwa kalamu kwamba ni fake sijui nini
Nikakuuliza kuhusiana na hio page na taarifa zake
Sasa haya tusimamie wapi kwa wale jamaa waloipiga mkasi ama tusimamie taarifa zao wanazozileta hio page?
 
Hawa magaidi wa dini wanapata jeuri maana walishalipua Saudi Arabia kipindi fulani walipotishwa....

US and UK forces shot down 21 drones and missiles fired by Yemen-based Houthis on Tuesday into the Southern Red Sea towards international shipping lanes, the US military's Central Command said.

US Central Command said there were no injuries or damage reported, adding that this was the 26th Houthi attack on commercial shipping lanes in the Red Sea since November 19.
Nasikia hamas ishafutwa 😀🤣😀
 
😂😂😂😂😂 hatari ipi wakati wa Yemeni wamezidiwa na kwashiokor, safura, kifaduro kipindupindu na kila aina ya magonjwa ya kimasikini na uchafu, waende huko Tel Aviv kutoa msaada siyo kuvizia meli za kiraia kama maharamia wa kihuni tu, meli za kijeshi hawazigusi wanaziogopa! Wayemeni wenzao wamekimbia njaa kwao wamejaa Gairo wakawasaidie kwanza.
Kumbe huwajuwi wazee wa gomba wewe.

Tazama Wayemeni wanavyoisimamisha dede dunia. Jana wamefanya mashambulizi makubwa kuliko yote waliyofanya:


View: https://youtu.be/SjJDYldmBgc?si=TKxzSdjD_BaoBL1k
 
Nasikia hamas ishafutwa 😀🤣😀

Nia sio kufuta HAMAS, ni kuendelea kulima amzombi yenu ambayo sasa yamefikia 23,000 ili Iran ikasirike na waarabu miungu yenu wajitie kwenye uwanja wa mapambano ili tumalize huu upumbavu wenu wa tangu karne zote.
 
Russia today walirusha video ikionesha askari zaidi ya 10 wakishambuliwa na kuuawa,iweje hao tisa iwe siku mbaya kuliko zote!?
Aljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?
 
Hamas ni vvijana wa mjini, mambo yao mpaka kwenye medani ni utani utani tu:

 
Aljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?
Kuna clip nyingi tu aljazeera hawana na tumeziona mtandaoni telegram,Gaza today au abdallah Al atar
 
Jeshi la Israel kupitia msemaji wake lasema linapajua alipo kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kazungukwa na mateka wa Israel waliowateka anawatumia kama ngao yaani human shield ili asishambuliwe na jeshl la Israel wameshapaina alipo
Kwa hiyo Sinwar dume zima na ndevu zake badala ya kwenda front kupambania wapalestina lenyewe linajificha kati ya mateka dah aibu sana si atoke front ampambanie allah hata akifa si anaenda kwenye mito ya pombe na mabikira 70
 
Aljazeera ndio wanatoa live coverage ya hiyo vita hata Hamas wakifanya shambulio watu wa kwanza kuwatumia ni hao Aljazeera japo wamekaa ushabiki ila ndio source ya habar nyingi zinazotokea Frontline sasa kama wao wamesema wamekufa IDF 9 Russia today ni nani wa kusema vinginevyo?
Siyo kweli kijana, kuna wanahabari wengi front huko. Sasa jionee mazayuni wenyewe wanasemaje:


View: https://youtu.be/zbgFx3IK8Xs?si=ryHSMUMxEEiJvBoF
 

Mwambie ndiyo Hezbollah wanachotaka hicho:

Tazama mashoga wanaingizwa kichwa kichwa:

 
Hizo ni kelele za America tumeisha zizowea ndio mana yeye na mke wake muingereza wamekimbilia kutangaza vita imeisha kwa sasa 😄

Vipi iishe wakati ndio imeanza, tuone sasa kama kuna meli zao zitapita Red Sea

Tatizo si kuanza tatizo nani mwenye pumzi refu nyie subirini muone hao walio shirkin kama hawakuwapigia magoti Yemen, mnadhani Yemen ni JWTZ 😄
VIta ndiyo vimeanza yeye anatangaza kumaliza😂
 
The Houthi demands are a ceasefire and aid into Gaza. Such a reasonable position and a brave stand to take. We’re on the wrong side again and the world is right to stand against us.

Wabunge UK
 
Back
Top Bottom