LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel sasahivi ipo phase ya kuua viongozi makundi ya kigaidi imeshamuua kiongozi mwingine wa Hamas aliyekuwa akirusha maroketi Israel ameuawa akiwa Syria na kiongozi mwingine wa Hezbollah ameuawa jana
Hamas: Ideological rigidity and political flexibility….
Hawajaanza kuuwa leo viongozi wao walimua muasisi leo Hamas ipo wapi?
 
Attachments

  • IMG_9011.jpeg
    IMG_9011.jpeg
    49.5 KB · Views: 7
Bikra za nini tena wakati hapa duniani waliziwacha nyingi sana.

Au nyie kwenu hakuna bikra kabisa 😄 Poleni basi hamjalea vizuri kwa warabu wa Palestine na Lebanon zimejazana labda ukosea step uangukie mkristo 😄
Kwa mujibu ya mapokeo yao kutoka kwa mudi 🤣🤣
 
Huwezi kuishi kwa amani na magaidi, wanachokitaka hamas Israel ikikubali basi imeisha, sijui wewe unaishi wapi au unaleta story za vijiwe vya kahawa!
Gaza tayari itakuwa chini ya Israel, Israel hawashindwi jambo pale wanapoamua, kama kiranja Iran , Turkey wameogopa kupeleka jeshi sembuse hivyo vikundi vidogo vya ugaidi?
 
Hawa pumbavu wanasema Israel anauwa watoto,Hiyo mitoto kwa Video inamsikiliza huyo Gaidi yote inaenda kuwa migaidi hatari zaidi,sasa mtu uiache ya nini.
Kuna kisa kimoja nilikisoma wanajeshi wa israel walikuwa wanaondoka gaza kwenda sehem nyingne wakaja watoto wawili na baiskeli wale wanajeshi walikuw kwenye tank wakafukuza wale watoto waondoke mahali pale lakini watoto wakawa wanaendelea kucheza na baiskeli yao
Kumbe walitumwa na magaidi ya hamas kama chambo waonyeshe walipo wanajeshi wa israel kilichotokea wale hamas walikuja na rpg kulipua tank zilipigwa njugu mno na wale watoto pia walikufa
 
Hahahahah hadithi yako nzuri alikufundisha nani mpigieni makofi matatu 🤣🤣🤣
 
Kuna kisa kimoja nilikisoma wanajeshi wa israel walikuwa wanaondoka gaza kwenda sehem nyingne wakaja watoto wawili na baiskeli wale wanajeshi walikuw kwenye tank wakafukuza wale watoto waondoke mahali pale lakini watoto wakawa wanaendelea kucheza na baiskeli yao
Kumbe walitumwa na magaidi ya hamas kama chambo waonyeshe walipo wanajeshi wa israel kilichotokea wale hamas walikuja na rpg kulipua tank zilipigwa njugu mno na wale watoto pia walikufa
Ndo dawa yao hao,si mama si mtoto ni washenzi tu wote.
Wakishiba biriani wanawaza mauaji tu.
Nimekaa nao na kuna siku naingia ndani litoto lao limeshika bastola ya bandia limelenga linafyatua.
Maji yakanirukia.
Nilitaka nilizabe makofi baba yao akatokea.
Nikamwambia mkanye mwanao,
Siku ingine ntakuja na machete hapa mtakoma
 
Taarifa nyingi xina ukweli. Nime share taarifa yao ikisema waliouawa ni 9, ila mleta mada kaleta taarifa tofauti akidai imeandikwa na hao ak7dai waliuawa ni 100, wakati waliuawa ni 9 waliuawa kwenye mlipuko uliotokea kwenye factory ya silaha Hamas
View attachment 2866836
Kuuawa 9 haiwezi kuwa worst day,sababu Kuna siku waliuawa zaidi ya hao 9,ni wazi wameficha takwimu halisi
 
Unawakana sasa baada ya kuona moto unawaka mnashindwa kuuzima 🤣
Lini mimi nilisema warabu wanamsaidia Hamasi? Nilisha sema nchi nyingi kiarabu zinamsaidia Israel fatilia mada zangu au majibu yangu haswa kuhusu Saud Arabia. UAE, Jordan. Egypt na Baharain nilsema wanamsaidia Israel.

Nchi ambazo nilisema hazmsaidi Israel ni Yemen tena wale North sio South, Kuwait na Oman
 
Wafe wanajeshi 100 Aljazeera wasionyeshe wakat wakifa wa5 tu basi hiyo habar itarushwa Kila baada ya sekunde 5
Kuuawa 9 haiwezi kuwa worst day,sababu Kuna siku waliuawa zaidi ya hao 9,ni wazi wameficha takwimu halisi
 
Israel sasahivi ipo phase ya kuua viongozi makundi ya kigaidi imeshamuua kiongozi mwingine wa Hamas aliyekuwa akirusha maroketi Israel ameuawa akiwa Syria na kiongozi mwingine wa Hezbollah ameuawa jana
Maoni ya waisrael na wamarekani wenyewe ni kuwa mkakati wa kuua viongozi umeanza zamani sana na wengi wameuliwa lakini kila siku wanakuja wapya wenye nguvu na utundu wa kivita kuliko waliouliwa.
Tutakumbuka kuwa aliuliwa sheikh Ahmed Yassin ambaye alikuwa ni mlemavu hata baskeli yake lazima asukumwe ndipo afike anakokusudia.Huyu sheikh alikaa jela miaka mingi na alipotoka akazidisha hasira zake.
Wengine na kama vile Alrantisi ambaye alikuwa mkuu wa Hamas kama alivyo Yahya Sinwar sasa.
Kwa kifupi kuua viongozi hakujasaidia kurudisha nyuma mapambano ya wapalestina.
Hakuna mrusha makombora ambaye utaalamu huo anao peke yake.Akiuliwa mmoja wanarithi wengine.Huyu Mohammed Deif haikudhaniwa na Israel kuwa kulikuwa na mtu kama yeye aliyechora mchoro wote wa shambulio la oktoba 7,2023
 
3276947807089081320.jpg.png

Maafisa na Wanajeshi 6 wa jeshi linalokalia kwa mabavu waliuawa, baada ya lori lililokuwa limebeba vilipuzi vilivyotayarishwa kuharibu mahandaki huko Gaza kulipuka!

Al hamdu liLlah
 
Hawa magaidi wa dini wanapata jeuri maana walishalipua Saudi Arabia kipindi fulani walipotishwa....

US and UK forces shot down 21 drones and missiles fired by Yemen-based Houthis on Tuesday into the Southern Red Sea towards international shipping lanes, the US military's Central Command said.

US Central Command said there were no injuries or damage reported, adding that this was the 26th Houthi attack on commercial shipping lanes in the Red Sea since November 19.
 
Back
Top Bottom