Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Hamas: Ideological rigidity and political flexibility….Israel sasahivi ipo phase ya kuua viongozi makundi ya kigaidi imeshamuua kiongozi mwingine wa Hamas aliyekuwa akirusha maroketi Israel ameuawa akiwa Syria na kiongozi mwingine wa Hezbollah ameuawa jana
Hawajaanza kuuwa leo viongozi wao walimua muasisi leo Hamas ipo wapi?