LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waziri wa Ulinzi wa Marekani mh Austin yuko likizo na haijulukani atarejea kazini lini

Hivi karibuni Waziri huyu alikuwa ziarani huko Mashariki ya Kati na za Chini ya kapeti zinasema ana matatizo ya kiafya

Source BBC
 
Muongo sio mpalestina , Ukoo wa daudi ni waisrael acha uzaramo wako bibi
Tatizo lako huelewi kuwa nchi ya israel imeanzishwa mwaka 1948. Huelewi pia maana ya neno israel na pia huelewi ni nani kizazi cha Yakobo (israel.

Yesu kazaliwa wapi? Betlehem au siyo? Betlehem iko wapi?

Ndoja nikupe darsa kidogo:

Kuwa Mtanzania maana yake ni kabila yako?
 
Mwandishi wa kituo cha habari cha BBC, alimuuliza Kiongozi wa kundi la Houthi kutoka Yemeni, Mohammad Ali Al-Houthi kwamba

Kwanini wanaisaidia Palestina wakati taifa hilo la Yemeni liko mbali sana na Palestina?

Mwamba akamjibu mwandishi huyo kama ifuatavyo,

Kwahiyo Biden na Netanyahu ni majirani ambao wanaishi kwenye
jengo moja? Rais wa Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza wanaishi pamoja na Netanyahu 😂

Wao wanaishi mbali na Israeli lakini mbona wanaisadia nchi hiyo?

Alooooo, hawa jamaa ni hatari sana 🙌

😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂 hatari ipi wakati wa Yemeni wamezidiwa na kwashiokor, safura, kifaduro kipindupindu na kila aina ya magonjwa ya kimasikini na uchafu, waende huko Tel Aviv kutoa msaada siyo kuvizia meli za kiraia kama maharamia wa kihuni tu, meli za kijeshi hawazigusi wanaziogopa! Wayemeni wenzao wamekimbia njaa kwao wamejaa Gairo wakawasaidie kwanza.
 
Israeli military base in Safed targeted in drone operation in response to assassination of Arouri
 
😂😂😂😂😂 hatari ipi wakati wa Yemeni wamezidiwa na kwashiokor, safura, kifaduro kipindupindu na kila aina ya magonjwa ya kimasikini na uchafu, waende huko Tel Aviv kutoa msaada siyo kuvizia meli za kiraia kama maharamia wa kihuni tu, meli za kijeshi hawazigusi wanaziogopa! Wayemeni wenzao wamekimbia njaa kwao wamejaa Gairo wakawasaidie kwanza.
Angalia huyu punguani anawapangia Yemen cha kufanya😂
 
Mwambie mama yako aende kwa wanajeshi Lugalo bila utaratibu aone kitachomkuta utawaona hao mnaowaita Mazayuni malaika! Kwanza Ilibidi wampige risasi akiwa mbali sana hao wanaoona sifa kujitoa mhanga kujilipua suicide bombers hawakosi kuwa na mibomu kiunoni.
Hii post yako tu unaonekana wewe mtoto wa Malaya harafu ni shoga kigori.
 
Gaidi mbibi , Yani Israel wameonesha jinsi ya kuwashughulikia magaidi waislamu ipasavyo

Apo Kenya magaidi waislamu walikuwa wanakuuliza kifungu Cha kitabu Cha pedophile Muhammad ukishindwa unakula chuma, ayo majitu hayafai
Aiseee wajinga mpo wengi.thibitisha huyo mama ni gaidi ili nisikuone kuwa mjinga.
 
Naye ni binadamu hivyo hamna cha ajabu hapo. Pole kwa General (rtd) Lyoyd Austine.
 
Watu wote ambao wanafurahia hilo nawaona ni wajinga hawana akili imagine mama hana silaha,hajawasumbua hao wanajeshi.hizi dini zimetuharibu waafrika badala la kuamuabudu Mungu tunaabudu watu kama hao waisraeli au waarabu.
 
Ndio maana ya life under occupation.

Alafu mbona uyo polisi wa kiyahudi ni mweusi.
 
Kuna watu wanaongoza ukatili, mauaji, unyanyasaji kuwazidi wavaa makobazi???

Huyo mwanajeshi angemtia makofi kabisaa...
Sasa mama hana hatia sio gaidi,hana silaha ya aina yoyote alafu apigwe kweli kuna watu hamna akili.
 
huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.

Tukio limenisikitisha pia.

Lakini nashindwa kuelewa huu upuuzi wa kuwasifu hamas na kujaribu kuwafanya waonekane watu safi huwa mnautoa wapi! Mijitu inabaka, inaua kwa kuchinja, risasi na makombora bado wewe kwa interest zako unahakikishia kuwa haiwezi kumsukuma mtu akadondoka chini? Au kumsukuma mtu ni zaidi ya kumchinja ama kumchapa risasi, ama hata kumteka? Sijui mnatuonaje!

Uovu wa Israel hausafishi uovu wa hamas. Kama Israel wanafanya uovu tuwakemee, lakini tusitumie mwanya huo kuwasafisha hamas ambao tunajua kabisa uovu wao ndio uliochochea yanayoendelea Gaza. Hamas nao wakifanya uovu tusisite kuukemea, na hapo pia tusiweke blah blah za ooh Israel huwezi kuwakuta wakifanya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naye ni binadamu hivyo hamna cha ajabu hapo. Pole kwa General (rtd) Lyoyd Austine.
Rais Biden amesema hata kama Waziri wa Ulinzi Lyoyd Austine atataka kujiuzulu kutokana na kuzorota kwa afya yake hatakubali.
 
Back
Top Bottom