LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Jamaa waingia kikomando na kuua HAMAS waliokua wanalinda hawa mateka na kuwaokoa, yaani mateka wamewekwa makundi makundi kwenye nyumba za watu ndio maana inabidi kupigwe kote kote....
Halafu ni hapo Rafah, sababu nyingine nzuri ya kupapiga.

IDF rescues 2 hostages from south Gaza’s Rafah in daring nighttime operation​

Yamam officers breach second floor of building, kill three Hamas terrorists guarding Fernando Simon Marman and Norberto Louis Har, as air force carries out massive strikes​


From L-R: Gabriela Leimberg kisses her brother Fernando Marman, Clara Marman next to her partner Louis Har, at the Sheba Medical Center, February 12, 2024 (Courtesy)

In a complex overnight operation, Israeli special forces rescued two hostages from Hamas captivity in Rafah in the southern Gaza Strip early Monday, marking the first successful extraction of captives held by the terror group in months.

The Israel Defense Forces said that Fernando Simon Marman, 61, and Norberto Louis Har, 70, were in good condition after being rescued, following an operation that involved battles with Hamas terrorists and massive Israeli airstrikes in Rafah.

The pair had been abducted from Kibbutz Nir Yitzhak on the morning of October 7, when Hamas-led terrorists killed 1,200 people and took 253 hostages in a murderous rampage in southern Israel.

 
[emoji599][emoji1093] BREAKING:

Hali Ni ya kutisha baada Egypt kupeleka zana nzito za kivita ikiwemo makombora ya kutungulia ndege huko Rafah mpakani mwa Israey

The Egyptian army is on HIGH ALERT!

Egypt has sent its many air defense systems along with its many armored vehicles near to the border of Gaza / Egypt

The Israeli ground operation in Rafah appears to be on the verge of commencing

Egypt has made clear that if the ground operation in Rafah goes ahead, then there will be severe consequences militarily

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
hawana uwezo kuipiga israel hao hata wafanyeje, hata wao wenyewe wanajua, hivi wewe huoni namna israel alivyo na furaha, anafanya yote akiwa na amani moyoni anajua hakuna mbweha yeyote mwenye uwezo kuwapiga eneo lile. nchi yenye raia 80m inapigwa mkwara na kanchi kenye watu 9m. soon wakiingia vitani, utawala wa misri utakuwa kama wa Tunisia, watavurugana hapo hadi watapinduana, na marekani ametoa go ahead kuingia RAfal that means, marekani anayempa msaada mkubwa sana misri kutokana na makubaliano, anamsapoti israel.
 
Hivi kwa nini egypt hataki kabisa kabisa hawa wakimbizi toka Gaza na nchi zote majirani hawataki hawa wakimbizi ??
Sio misri tu, hata Jordan. nchini Jordan kuna wapalestina wengi kuliko wajordan, na walishawahi kutamani kuipindua ile jordan iwe yao ndio maana hata jordan hataki kuwasikia hao wapalestina hadi anawazunguka kushirikiana na israel sometimes kwasababu anawajua walivyo.
 
Inamaana hakuna anaetaka kumsaidia Mpalestina? basi kusem ukweli kuna kitu kingine nyuma ya pazia kwa sisi tusicho kijua wala kukiona kwa jicho la kawaida kabisa.
 
Hivi kwa nini egypt hataki kabisa kabisa hawa wakimbizi toka Gaza na nchi zote majirani hawataki hawa wakimbizi ??
Kupokea wakambizi maana yake ni gharama kwako uliewapokea lazima bajeti iwepo.

2.Kutokana na mpango kazi wa wazayuni nikutaka kuwahamisha mazima hao waparestina.

Sasa atakaewapokea maana yake awepe uraia au makazi ya kudumu we kuweza??
 
Ndo maana juzi putini kasema hakuna wa kiwashinda west na Europe kwenye vita ya propaganda.

Hiyo operation niyakawaida sana hamna haja ya kuipamba ivo.

Hawa jama walituteka kwenye movies za hollywood tilijua hawagusiki kumbe.......
 
Kupokea wakambizi maana yake ni gharama kwako uliewapokea lazima bajeti iwepo.

2.Kutokana na mpango kazi wa wazayuni nikutaka kuwahamisha mazima hao waparestina.

Sasa atakaewapokea maana yake awepe uraia au makazi ya kudumu we kuweza??
Soma post number 9......sababu ndio hiyo
 
Israel anaenda kupigwa na Waarabu na Russia kama atashambulia Rafah. Maana naye ni kuwa ameamua kuwafukuza Wapalestina kutoka Gaza kabisa kwakuwa population ya Gaza asilimia zaidi ya 90 imekimbilia Rafah
 
Israel anaenda kupigwa na Waarabu na Russia kama atashambulia Rafah. Maana naye ni kuwa ameamua kuwafukuza Wapalestina kutoka Gaza kabisa kwakuwa population ya Gaza asilimia zaidi ya 90 imekimbilia Rafah
Nani ajiingize kupigana na Israel moja kwa moja? Hakuna nchi yoyote yenye uwezo ambayo inaweza kuvumilia alichokifanya hamasi. Ukamate rai wa nchi nyingine uwateke na kuwapeleka kuwaficha kusikojulikana halafu uachwe maisha yaendelee? Haipo nchi ya kuvumilia ujinga huu. Bora hamasi wangevamia na kuua wasichukue mateka nadhani hasira ya Netanyahu ingekuwa imetulia na vita ingekuwa imeshaisha, leo Netanyahu akisitisha vita unafikiri itakuwaje suala la mateka?
 
Acha kupotosha watu hamas haijakamata raia hamas ilikamata na kufyeka magaidi ya kizayuni
Mnapenda magaidi mpaka yakikamatwa munaumia
Wewe GAIDI?
 
Ni kumsikia tu hakuna namna ukweli mchungu nawaunga mkono hamas ila kinachotokea rafah na kinachofuata ni hatari na huruma kwa raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…