kabisa yaani mbwembwe nyingi utadhani anaenda kupigana na russia au china kumbe watoto na wanawake....kye kye kye kyeeeNdo maana juzi putini kasema hakuna wa kiwashinda west na Europe kwenye vita ya propaganda.
Hiyo operation niyakawaida sana hamna haja ya kuipamba ivo.
Hawa jama walituteka kwenye movies za hollywood tilijua hawagusiki kumbe.......
IDF commandos are the best in the worldJamaa waingia kikomando na kuua HAMAS waliokua wanalinda hawa mateka na kuwaokoa, yaani mateka wamewekwa makundi makundi kwenye nyumba za watu ndio maana inabidi kupigwe kote kote....
Halafu ni hapo Rafah, sababu nyingine nzuri ya kupapiga.
IDF rescues 2 hostages from south Gaza’s Rafah in daring nighttime operation
Yamam officers breach second floor of building, kill three Hamas terrorists guarding Fernando Simon Marman and Norberto Louis Har, as air force carries out massive strikes
From L-R: Gabriela Leimberg kisses her brother Fernando Marman, Clara Marman next to her partner Louis Har, at the Sheba Medical Center, February 12, 2024 (Courtesy)
In a complex overnight operation, Israeli special forces rescued two hostages from Hamas captivity in Rafah in the southern Gaza Strip early Monday, marking the first successful extraction of captives held by the terror group in months.
The Israel Defense Forces said that Fernando Simon Marman, 61, and Norberto Louis Har, 70, were in good condition after being rescued, following an operation that involved battles with Hamas terrorists and massive Israeli airstrikes in Rafah.
The pair had been abducted from Kibbutz Nir Yitzhak on the morning of October 7, when Hamas-led terrorists killed 1,200 people and took 253 hostages in a murderous rampage in southern Israel.
Yuko wapi siku hizi ?Waje wamuokoe deogratius Nalimi Kissandu
AhahaaaaaWaje wamuokoe deogratius Nalimi Kissandu
Jamaa waliingia kikomando, kama movie...
Footage shows hostages being rescued from Hamas captivity in daring Rafah operation
Footage released Monday evening showed parts of the rescue of two Israeli hostages from a building in Gaza, though Israel’s defense minister cautioned that such daring extractions should not be counted on to free the 134 captives still held in the Strip.
The video, published by the Israel Defense Forces, showed special forces coming under fire in the southern Gaza city of Rafah, and the Navy’s Shayetet 13 commando unit accompanying Fernando Marman, 61, and Louis Har, 70, to a makeshift helipad to escape the Strip.
The long-planned rescue, only the second time that Israel has managed to successfully free captives by force since October 7, came as a rare bright spot after four months of war that has seen troops sweep through a devastated Gaza, but largely fail to bring the Hamas terror group to its knees, with pressure growing daily for an end to the fighting.
Propaganda za Iran hiz ngoja kichapo kiendeleeUnaowaongelea ni hawa:
View attachment 2902220
Kwa hivyo waliokolewa lini?
View: https://twitter.com/Shayan86/status/1757190800155255078
Mtamezeshwa si matango pori tu, bali hadi mavi!
Unaowaongelea ni hawa:
View attachment 2902220
Kwa hivyo waliokolewa lini?
View: https://twitter.com/Shayan86/status/1757190800155255078
Mtamezeshwa si matango pori tu, bali hadi mavi!
Lazima itakuuma sana mpigania dini ya akba Akbar na bado kichapo kiko pale pale, haya wameokolewa, mnaendelea kushindwa.
Propaganda za Iran hiz ngoja kichapo kiendelee
Waarabu wa Misigiri watasema ni propaganda
Hakuna kukimbia.Ni kufa au kurudi nyumbani.Safi sana piga piga hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya magaidi wa dini, ukizingatia Misri imefunga mpaka sijui mtakimbilia wapi.