LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ndo maana juzi putini kasema hakuna wa kiwashinda west na Europe kwenye vita ya propaganda.

Hiyo operation niyakawaida sana hamna haja ya kuipamba ivo.

Hawa jama walituteka kwenye movies za hollywood tilijua hawagusiki kumbe.......
kabisa yaani mbwembwe nyingi utadhani anaenda kupigana na russia au china kumbe watoto na wanawake....kye kye kye kyeee
 
Jamaa waingia kikomando na kuua HAMAS waliokua wanalinda hawa mateka na kuwaokoa, yaani mateka wamewekwa makundi makundi kwenye nyumba za watu ndio maana inabidi kupigwe kote kote....
Halafu ni hapo Rafah, sababu nyingine nzuri ya kupapiga.

IDF rescues 2 hostages from south Gaza’s Rafah in daring nighttime operation​

Yamam officers breach second floor of building, kill three Hamas terrorists guarding Fernando Simon Marman and Norberto Louis Har, as air force carries out massive strikes​

From L-R:  Gabriela Leimberg kisses her brother Fernando Marman, Clara Marman next to her partner Louis Har, at the Sheba Medical Center, February 12, 2024 (Courtesy)
From L-R: Gabriela Leimberg kisses her brother Fernando Marman, Clara Marman next to her partner Louis Har, at the Sheba Medical Center, February 12, 2024 (Courtesy)

In a complex overnight operation, Israeli special forces rescued two hostages from Hamas captivity in Rafah in the southern Gaza Strip early Monday, marking the first successful extraction of captives held by the terror group in months.

The Israel Defense Forces said that Fernando Simon Marman, 61, and Norberto Louis Har, 70, were in good condition after being rescued, following an operation that involved battles with Hamas terrorists and massive Israeli airstrikes in Rafah.

The pair had been abducted from Kibbutz Nir Yitzhak on the morning of October 7, when Hamas-led terrorists killed 1,200 people and took 253 hostages in a murderous rampage in southern Israel.

IDF commandos are the best in the world
 
Jamaa waliingia kikomando, kama movie...

Footage shows hostages being rescued from Hamas captivity in daring Rafah operation​

Footage released Monday evening showed parts of the rescue of two Israeli hostages from a building in Gaza, though Israel’s defense minister cautioned that such daring extractions should not be counted on to free the 134 captives still held in the Strip.

The video, published by the Israel Defense Forces, showed special forces coming under fire in the southern Gaza city of Rafah, and the Navy’s Shayetet 13 commando unit accompanying Fernando Marman, 61, and Louis Har, 70, to a makeshift helipad to escape the Strip.

The long-planned rescue, only the second time that Israel has managed to successfully free captives by force since October 7, came as a rare bright spot after four months of war that has seen troops sweep through a devastated Gaza, but largely fail to bring the Hamas terror group to its knees, with pressure growing daily for an end to the fighting.
 
Hili ndiyo jeshi la kitaalam siyo wale machizi waliommiminia risasi mtanzania ambaye hakuwa hata na rungu, na kuteka vibibi vizee na watoto, na kutumia mabinti, wake na mama zao kama ngao(human shields) walitegemea IDF isijibu ugaidi wao, wakijibiwa wanadai "genocide" huu ni uhuni wa millenium!!! IDF kazi iendelee.
 
Jamaa waliingia kikomando, kama movie...

Footage shows hostages being rescued from Hamas captivity in daring Rafah operation​

Footage released Monday evening showed parts of the rescue of two Israeli hostages from a building in Gaza, though Israel’s defense minister cautioned that such daring extractions should not be counted on to free the 134 captives still held in the Strip.

The video, published by the Israel Defense Forces, showed special forces coming under fire in the southern Gaza city of Rafah, and the Navy’s Shayetet 13 commando unit accompanying Fernando Marman, 61, and Louis Har, 70, to a makeshift helipad to escape the Strip.

The long-planned rescue, only the second time that Israel has managed to successfully free captives by force since October 7, came as a rare bright spot after four months of war that has seen troops sweep through a devastated Gaza, but largely fail to bring the Hamas terror group to its knees, with pressure growing daily for an end to the fighting.

Unaowaongelea ni hawa:

GGLd7WsWgAA6Jiu.jpeg

Kwa hivyo waliokolewa lini?

View: https://twitter.com/Shayan86/status/1757190800155255078

Mtamezeshwa si matango pori tu, bali hadi mavi!
 
Misahafu inaandika:

"Mtu hunena yaujazayo moyo wake."

IMG_20240213_043640.jpg

Amesikika rais Biden kwenye press conference na mfalme Abdullah:

IMG_20240213_043359.jpg

IMG_20240213_043517.jpg

Yetu macho, kwani njia ya mwongo ni fupi.

Ngoja tuone.
 
Safi sana piga piga hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya magaidi wa dini, ukizingatia Misri imefunga mpaka sijui mtakimbilia wapi.
 
Waarabu wa Misigiri watasema ni propaganda

1. Kwamba mateka 2 katika wote ni % ngapi?

2. Bado taarifa za kuokolewa mmojawapo hapo zilikuwapo tangia mwaka jana:

GGLd7WsWgAA6Jiu.jpeg

View: https://twitter.com/Shayan86/status/1757190800155255078?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1757190800155255078%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=

3. Bila shaka mayahudi ya Misigiri na Rabbi wao mkuu (MK254) yanaamini mateka wote walishaokolewa:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa
 
Back
Top Bottom