LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Dogo unamjua Mungu wa israel? Ogopa Mungu wa Israel. Soma historia Hakuna taifa lolote linaloweza kusimama kinyume cha Israel likashinda
 
Unatakiwa uwe milembe uanze dozi mkuu
 
Story nyiingi mzee wapige Israel biashara ikafungwe mazima mbona wazee wanawasubiri.
 
IF YOU WANT TO SHOOT

SHOOT

DON'T TALK
like a baby Chiwawa
 
Mimi MTU anayeona ilo taifa ni teule namuona mjinga sana sana
 
Iran anaweza kuchezea USA lakini siyo Israel, inafikia hatua hata USA anamuogopa Israel, kwani mpaka wanapentrate mpaka Damaskus S400 ya Rusia ilikuwa inafanya nini? Imeshindwa kudetect F-16 za Israel, na hapo bado hawajatumia F-35
Juzi wamenunua fighter jets zingine hizi ni advanced kuliko hizo F-35
Angalia huyu mnyama anaitwa F-151A hiii ni chinjachija na hii ndege zipo marekani Tu
 
Iran anaweza kuchezea USA lakini siyo Israel, inafikia hatua hata USA anamuogopa Israel, kwani mpaka wanapentrate mpaka Damaskus S400 ya Rusia ilikuwa inafanya nini? Imeshindwa kudetect F-16 za Israel, na hapo bado hawajatumia F-35
Bangi na Dini inawapumbaza. Yaani USA amuogope Mazionists? Mpokea misaada ndio aogopwe? Nikuambie kitu waarab wanamgwaya na uchokozi wa Israel yuko backed na USA na British wao ndio walowaweka hapo Mashariki ya Kati baada yu kuuliwa na Adolf. Akisimama mwenyewe wiki moja utasikia kinachoendelea.

Ndio maana Iran anapambana amiliki Nukes ili akianzisha msako na Huyo Israel asiwe wa kumtisha. Na kinyume chake USA na wenzake hawataki afikie hatua hiyo. Agano la Iran ni kwamba ipo siku Israel itafutika katika Raman ya Dunia.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Shida yake ni Moja hasira zake zinaenda kuishia Iraq na Pakistan ndio maana siku zote anaitwa muoga tusibiri retaliation tuone Kama anaubabe wa kuingia Front
 
Kwani wayahudi wamefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…