LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Iran anaweza kuchezea USA lakini siyo Israel, inafikia hatua hata USA anamuogopa Israel, kwani mpaka wanapentrate mpaka Damaskus S400 ya Rusia ilikuwa inafanya nini? Imeshindwa kudetect F-16 za Israel, na hapo bado hawajatumia F-35
Na wakati HAMAS anaichapa Israel hapa juzi Kwa mujibu wenu hizo air defence na intelligence ya Israel ilikua wapi??

The same question
 
Uvumilivu una kikomo chake, kwa alichokifanya Israel leo kimevuka mstari mwekundu kabisa

Kama kawaida ya Iran huwa hachelewi kujibu!! Last time waliichakaza Kurdistan na kuligeuza jengo la Mossad majivu kabisa na kuwaangamiza magaidi wengi ikiwemo majasusi watano wa Mossad

Safari hii mwisrael kajitokeza mwenyewe kuna moto unaenda kuwaka hapo mashariki ya kati

Halafu kuna watu wanadhani Iran ni waoga wakijibu mnasemaga Iran ni wakorofi coz anyone who say that “iran is a coward” bullshit is an idiot ukweli ni kuwa Despite kuwa na 40+ years of sanctions, despite a 8-year long western-backed war against Iran, Iran has advanced and is competing with top countries.

If it wasn’t for Iran, there would be no fighting capability among the Resistance Nexus members (Palestinian factions, Yemen, etc). I’m tired from some of the emotion-based comments black Zionists in JF war in the real world is not fictional, responses and actions have to be carried out strategically and calculated. We trust the resistance leadership and we continue to do so.

Mockery and illiterate comments will not stop anything even spare Israel this timw and we ’ll witness strong retaliation from Iran soon as as possible nunueni popcorns kabisa
Competing with top countries kwa kelele labda,misri tu hamuwezi.
 
Uzuri ukipigwa na Marekani unashika adabu kisawa sawa Waangalie ujerumani na japan
Zama hizi hakuna mnyonge kipindi hiko mmarekani alikuwa anaringia nucler sasa hivi kila nchi inayo hana ubabe huo, kipindi kile mjapan bila kumshushia nucler ile vita isingemalizika. German mwenyew bila kuungana wasingiweza mziki wake
 
Nimeona Ayatollah Khomeini wa Iran amevurugwa kweli kweli na kichapo Cha Damascus

Kiukweli waarabu baada ya kufa Osama bin laden na mdogo wake Mulla Omar waliobaki ni lege lege Watupu

Ramadan Kareem 😄
 
Siamini kama Iran itapigana na Israel lakini naamini vikundi vitaimarishwa vimtese Israel.
 
Israeli ina refusha vita vya Gaza ili kukomesha Iran proxies. Sasa hivi Israeli hata ikishambulia Syria na Lebanon Kunakuwa hakuna makelele mengi, manake inakuwa ipo vitani 🤔
 
Israel nitaifa dhaifu sana!! Najua hamuwezi kunielewa katika analysis niliyoifanya kupitia vita na data za kivita duniani basi Israel inapewa ukubwa isiyokuwa nao!
  • Tuanze na Vita iliyoanza hapo Mwaka jana 07/October 2023, inaonyesha alitumia nguvu ya jeshi lake kwa aslmia 83% akiwa amebakiza aslimia 17% ya Jeshi lake! kupigana na hamas
  • Ametumia siraha zake kubwa kwa aslimia 60%kupambana na Hamas akaomba apewe siraha na Mmarekani
  • Ametumia kiasi cha fedha katika pato lake kwa aslmia 78% ikalazimika kuomba msaada wa pesa katika Congress ya Marekani!
  • Na kwa tathimini ya hii vita hajafanikiwa lengo lake hata kwa aslimia 20%! zaidi ya kuendeleza mauaji ya kimbali na ubomoaji wa majengo! na vituo vya misaada ya kibinadamu pamoja na mahospitali kitu ambacho kwa kwa jamii ya kimataifa inalaani vikali!
  • Vita inaendele kupamba moto ndani ya maghofu inamlazimu kurudi Gaza kushambulia maghofu kama mtu aliyechanganyikiwa! sasa anatapatapa kwenda nje ya mipaka kuangusha mabomu badala ya kuwatafuta wanaopiga kila siku akipoteza askari wake maana wanashambuliwa kwa kuviziwa!
  • Mateka mpaka sasa aijulikani wapi walipo kama wapo hai au wamekufa! Japo alisifiwa ana MOSAD lakini ni toothless wameshindwa ku detect invasion planmpaka watu wanasombwa watu 250 siyo mchezo kuwatoa nchi moja na kwenda kuwaficha mahali kusikojulikana na kushindwa kujulikana! hivyo unaona hata wao hawana interejensisa ya maana!
  • Kwa vigezo hivyo vinanifanya niamini Marekani ndiyo kichwa cha Israel siku akimtema hawezi kufurukuta atapigwa kama ngoma hivyo kiburi chake ni mmarekani!
  • Ujinga wa waarabu nikutokuwa na NATO YAO iliyosimama wangekuwa na nato yao yenye vifaa zana za kivita wakasimama imara wasingechezewa na wazungu! mtu pekee alikuwa amewasoma wazungu ni SADAM HUSSEN mpaka walipoona maendeleo ya makombora yatakuja kuleta shida kwa mwisrael wakamalizana naye kwa njia ya UN.
  • Iran nimjanja wanamchokoza sana ila anajua siasa zao na yeye kaamua kufadhili ugaidi ili na wao wasikae kwa raha! Ila iran kama siyo Mmarekani anaweza kuzipiga na Israel na akapata ushindi! pia Israel Jeshi lake la ardhi (Land force) Nidhaifu sana kama mgambo! Special force ambao wamefundishwa na Marekani ndo wanaonekana kwenye picha!
Kwa hayo nasema Israel ni dhaifu sana anabebwa na Marekani nje ya hapo hayupo!!!
 

OMANI yaandaaa hodi mpya maalum wa kuwapokea wagonjwa na majeruhiwa Gaza katika hospitali ya Khawla kabla ya kuwasili.


Maashallah Serikali ya Oman na watu wake Allah atawalipa maana wamesimama kwa kila hali yarabb si dua misikitini, misaada wameonyesha, mioyo ya ubinaadam wameonyesha sana kwa watu wapalestina 🇵🇸

Hivyo wana mioyo yao ya kipekee Allaah awahifadhi sana Ndugu zetu 🇴🇲❤❤

I wish na Serikali yetu+masheikh wetu wafanye kama Oman!
 
Back
Top Bottom