Na wakati HAMAS anaichapa Israel hapa juzi Kwa mujibu wenu hizo air defence na intelligence ya Israel ilikua wapi??Iran anaweza kuchezea USA lakini siyo Israel, inafikia hatua hata USA anamuogopa Israel, kwani mpaka wanapentrate mpaka Damaskus S400 ya Rusia ilikuwa inafanya nini? Imeshindwa kudetect F-16 za Israel, na hapo bado hawajatumia F-35
Competing with top countries kwa kelele labda,misri tu hamuwezi.Uvumilivu una kikomo chake, kwa alichokifanya Israel leo kimevuka mstari mwekundu kabisa
Kama kawaida ya Iran huwa hachelewi kujibu!! Last time waliichakaza Kurdistan na kuligeuza jengo la Mossad majivu kabisa na kuwaangamiza magaidi wengi ikiwemo majasusi watano wa Mossad
Safari hii mwisrael kajitokeza mwenyewe kuna moto unaenda kuwaka hapo mashariki ya kati
Halafu kuna watu wanadhani Iran ni waoga wakijibu mnasemaga Iran ni wakorofi coz anyone who say that βiran is a cowardβ bullshit is an idiot ukweli ni kuwa Despite kuwa na 40+ years of sanctions, despite a 8-year long western-backed war against Iran, Iran has advanced and is competing with top countries.
If it wasnβt for Iran, there would be no fighting capability among the Resistance Nexus members (Palestinian factions, Yemen, etc). Iβm tired from some of the emotion-based comments black Zionists in JF war in the real world is not fictional, responses and actions have to be carried out strategically and calculated. We trust the resistance leadership and we continue to do so.
Mockery and illiterate comments will not stop anything even spare Israel this timw and we βll witness strong retaliation from Iran soon as as possible nunueni popcorns kabisa
Hata mimi namshangaa mtu anayeona yule mbakaji eti katumwa na MUNGU labda mungu muasi mwenye kumiliki majini.Mimi MTU anayeona ilo taifa ni teule namuona mjinga sana sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]β’ Sasa wewe Iran, wanakuhusu nini?
β’ Tafuta hela Familia yako iishi vizuri [emoji848][emoji848]...
Iran, Iran, utadhani wanakujua [emoji3525][emoji3525]
Watufutika wao wenyewe Iran.Agano la Iran ni kwamba ipo siku Israel itafutika katika Raman ya Dunia.
Wameteketeza magaidi (akiwemo jenerali wa Iran) kwenye ubalozi wa Iran huko Syria...Kwani wayahudi wamefanyaje?
Zama hizi hakuna mnyonge kipindi hiko mmarekani alikuwa anaringia nucler sasa hivi kila nchi inayo hana ubabe huo, kipindi kile mjapan bila kumshushia nucler ile vita isingemalizika. German mwenyew bila kuungana wasingiweza mziki wakeUzuri ukipigwa na Marekani unashika adabu kisawa sawa Waangalie ujerumani na japan
Ayatola nae huwa hapendi kuonekana mnyonge, Si unakumbuka Trump alipoagiza mauaji ya yule General wao Soleiman?Wameteketeza magaidi (akiwemo jenerali wa Iran) kwenye ubalozi wa Iran huko Syria...
View: https://x.com/MOSSADil/status/1775153103135707582?t=rxVCMd4f__Ce08ahv1-OTQ&s=09
Kwahiyo Iran kuna Waarabu?Nimeona Ayatollah Khomeini wa Iran amevurugwa kweli kweli na kichapo Cha Damascus
Kiukweli waarabu baada ya kufa Osama bin laden na mdogo wake Mulla Omar waliobaki ni lege lege Watupu
Ramadan Kareem π
Waajemi, Wayahudi wote hao ni waarabu πΌKwahiyo Iran kuna Waarabu?
ata Netanyahu mwarabu?Waajemi, Wayahudi wote hao ni waarabu πΌ
Wajinga ni wengi hawaezi isha karne hii.Hata mimi namshangaa mtu anayeona yule mbakaji eti katumwa na MUNGU labda mungu muasi mwenye kumiliki majini.