LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
I wish na Serikali yetu+masheikh wetu wafanye kama Oman!
Serikali yetu ianze kuwachukua na kuwatibu Muhimbili wahanga wa mauaji ya kigaidi Mashariki mwa DRC. Majaji yanafanywa na ADF Islamist
 
Kama unadhani wa Oman Wana huruma, hebu muulize msichana yoyote ambaye amefanya kazi za u housegirl Oman.
 
Je wayahudi waliouawa october 7 na kutekwa na Hamas mbele ya Allah hii ipo sahihi?
 
Kama unadhani wa Oman Wana huruma, hebu muulize msichana yoyote ambaye amefanya kazi za u housegirl Oman.

Hakuna watu wakarimu duniani kama wa Oman, ni vile hujatembea, hivyo huwezi nidanganya.

Kuna housegirl amemjengea mama yake nyumba kwa mshahara wa oman, na sio hela za huku hata banda la kuku hujengi
 
[emoji599]BREAKING | IRAN SAYS ISRAEL IS GOING THROUGH ITS LAST DAYS.

β€œThe disgraced Zionist regime is going through its last days. Israel's crimes are unprecedented in history, and this evil regime does not adhere to anything.

I believe that people's understanding of Israel's crimes today will not be the only cause of Israel, and their supporters should be held accountable.”

Source: BRICSInfo

My take:Hili suala ni kweli kabisa, jamaa wamejitundika wenyewe, yaani Israel imejichimbia kaburi lake lenyewe sidhani kama Israel itatamalaki tena

 
Unaota wewe gaddafi mwenyewe aliapa tu hakuna nchi inayoitwa israel na akafa isreal ipo imara mpaka QIYAMA chako
 
Wataalam wa ma swala ya kivita wanasema hayo madude ni cha mtoto yatazimwa juu kwa juu Israel wako vizuri kwenye uwanja wa vita ndio maana wamefanya tukio wamalize kaz yaani Iran na Urusi watafurahishwa just keep cool men... Niliandika Israel ataishangaza Dunia Soo kuwa mpole
 
Wairan ni Wake wa Waisrael mwanamke hawezi kumrushia ngumi mwanaume.
 
Ila Netanyahu angekuwa anaingia humu, akawa anafatilia nyuzi za kobazi anaweza kujinyonga πŸ˜… πŸ˜…
 
Wewe ni mwehu kabisa, kwa hiyo hizo missiles ni nchi gani haina hasa nchi za Ulaya, Iran itaunguzwa
 
Asante kwa taarifa yetu macho tunasubri😎
 
Duuuh πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…