Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kondoo atabaki kuwa kondoo US alikimbia somal, US alikimbia Afghanstan, US alikimbia Lebanon labda we akili zako za kitoto kama unavyo jita jr16 😄Nyie mjitoe tu ufahamu, kwa akili zenu Iran,Iraq ndo wakupigana vita na USA, UK, France, Israel?
Waanzishe mara ya ngapiIsrael ianzishe vita turudi baada ya mwaka kuona wapi kuna magofu, wapi hakuna huduma za kijamii na ni kina nani wamekuwa wakimbizi
Acha Taqiyya Israel hajawahi anzisha Vita even all truth Muslims agreed... Vita zote Israel ndio kajibu kijikinga ndio maana Jeshi lao ni la Kujidefance.. attack, assassin invader ni heart of Muslims leo hata kesho... na Koran inaamini siku itafika wayahudi watajificha kwenye mawe na mawe yataongea enyi Muslim njoeni muwauwe mayahudi yamejificha hapa.Israel imeanzisha vita miaka zaidi ya 75 sasa, ulikuwa huelewi?
Nilichoona ni Drone imepenya mifumo ya anga so idf wakawahi control na nimeona wameiripua faster drone
Muslim kila vita wakipigwa wanasema walishinda... sijui kwa comparison zipi... walipoteza kila kitu vita zote na wanadai walishindaKwani mazayuni hawakumbuki walivyoingia 2006 kiliwakumba nini? kama huelewi, walitandikwa mpaka wakasalimu amri. h
Kqwa kukujuza tu, Lebanon mpaka basha wake zayuni, mmarekani alitoka mbio kwa kombora moja tu, pigo kali pigo takatifu mwaka 1983.
Ghaza kaingizwa kwa nguvu, ndipo alikuwa anatakiwa afike, akaingia kichwa kichwa, iliyobaki anauwa watoyto na wanawake tu, wakijidai kujitokeza wanabamizwa kila kukicha.
Kama huelewi kinachoendelea Ghaza, jonee:
View: https://youtu.be/iusXy8dyC0Q?si=_dBPh5RqAZ-v6_Si
According to Allah au mudy? Maana Nabii Mussa aliugawa mji kwa Muslims baada ya kupewa nchi na AllahHizbullah wanautaka mji wao wa galilaya
Galilaya haikuanza na Musa,palikua na watu pale,so siyo wa Musa Wala miungu wako waisraelAccording to Allah au mudy? Maana Nabii Mussa aliugawa mji kwa Muslims baada ya kupewa nchi na Allah
Imefika karibu Sana na kambi ya jeshi,ndiyo maana houth wamezitandika meli nne zilizopaki ndani ya IsraelUzuri wake imelipuliwa angani!
Unaongea fikra zako akili yako inagoma kabisa kuona au kukubali Israel anapelekewa moto😀 toka lini Hamas wakawa na silaha kutoka Iran wangekuwa na hizo silaha saizi Israel kungekuwa magofu, Hamas anajitengeneza silaha zake mwenyewe hayo makombora yake hayazidi hata dola 200 kwa kombora moja.Katika ulimwengu wa kijasusi, Vita inatengenezwa, mfano,
Rwanda anataka sababu ya kuishambulia TZ,
Anafanya hv"anapiga bomu kambi yake,akitokea mpakani,watu kadhaa wanakamatwa, wakiwa na vitambulisho vya TOSS, au jwatz,tena wanaongea Swahili vzr, "wanakili kuwa, wametumwa na serial ya, TZ? " Hapo,lazima kiwake,
Hiki kinachoendelea Kati ya Hezbollah na Israel, kwamba Hezbollah ameweza kuwa na dhana za Vita za ki sasa, anazirusha kwenye anga ya Israel, bila Israel kujua, kwamba Hezbollah ameweza ku mark kambi zote za jeshi, na vituo vya makombora ndani ya Israel! Na, Israel amesbindwa kuzuia!
Swali huu uwezo, wa Hezbollah ulikuwa wapi wakati Hamas inapigwa? Kwanini hakuwasaidia wa Arab wenzie? Kuwaonyesha target za ku piga!?
Pili tunajua Hezbollah na Hamas bwana wao ni Iran, mbona Iran assets zao,kibao zimepigwa na ha kuweza kujibu kwanini ye ye Hana huu uwezo, ambao wanafunzi, wake wanao?
Hili ni game tu linachezwa, na CIA, Mossad, kuna agents wako ndani ya Hezbollah wanafanya kazi, na Mossad, ndio wanapewa hz mambo, Hezbollah anashangilia, anatafutiwa sababu tu
We jidanganye tu katika drone hakuna hata alio angusha zaidi ya kupiga missiles 10 katika 50 alizo pelekewa leo hahahaNilichoona ni Drone imepenya mifumo ya anga so idf wakawahi control na nimeona wameiripua faster drone
Kijana Palestina hakuna vita ya "muslim" na asiye "muslim".Muslim kila vita wakipigwa wanasema walishinda... sijui kwa comparison zipi... walipoteza kila kitu vita zote na wanadai walishinda
Umemaliza. Hizi inside secret zinajulikana great thinkers.Katika ulimwengu wa kijasusi, Vita inatengenezwa, mfano,
Rwanda anataka sababu ya kuishambulia TZ,
Anafanya hv"anapiga bomu kambi yake,akitokea mpakani,watu kadhaa wanakamatwa, wakiwa na vitambulisho vya TOSS, au jwatz,tena wanaongea Swahili vzr, "wanakili kuwa, wametumwa na serial ya, TZ? " Hapo,lazima kiwake,
Hiki kinachoendelea Kati ya Hezbollah na Israel, kwamba Hezbollah ameweza kuwa na dhana za Vita za ki sasa, anazirusha kwenye anga ya Israel, bila Israel kujua, kwamba Hezbollah ameweza ku mark kambi zote za jeshi, na vituo vya makombora ndani ya Israel! Na, Israel amesbindwa kuzuia!
Swali huu uwezo, wa Hezbollah ulikuwa wapi wakati Hamas inapigwa? Kwanini hakuwasaidia wa Arab wenzie? Kuwaonyesha target za ku piga!?
Pili tunajua Hezbollah na Hamas bwana wao ni Iran, mbona Iran assets zao,kibao zimepigwa na ha kuweza kujibu kwanini ye ye Hana huu uwezo, ambao wanafunzi, wake wanao?
Hili ni game tu linachezwa, na CIA, Mossad, kuna agents wako ndani ya Hezbollah wanafanya kazi, na Mossad, ndio wanapewa hz mambo, Hezbollah anashangilia, anatafutiwa sababu tu
ngoja tukukumbushe huenda ukawa umesahau au unajisahaulisha makusudi kuficha aibu ya jeshi bora hapo mido ist na dunianiIsrael ianzishe vita turudi baada ya mwaka kuona wapi kuna magofu, wapi hakuna huduma za kijamii na ni kina nani wamekuwa wakimbizi
enyi watetea mashoga mngejua udhaifu wa jeshi la israhell wala msingeimba imba taarabu hapaLaiti mngaliijua nguvu ya israel enyi waislamu msingali ongea ujinga kwenye mitandao pia natamani sana mkasome doctrine ya jeshi la israel IDF inayoitwa * THE SAMSON OPTION* Juu ya yote najua hizbulah pale lebanon inaenda kugeuzwa majivu soon wenye akili wameshaanza kuondoka ! Nimekaa israel mji wa mpakani unaitwa esderot ulikuwa unashambuliwa kila siku ila nilikuja kumuamini israel kwa alichokifanya mpaka kesho mji wa esderot uko salama sana naijua israel nimekaa israel miaka 2 najua mwezi wa tisa mtakuja kulia hapa kichapo kikianza. Poleni sana watetezi wa watesi wa taifa la Mungu.
GAZA kaingizwa kwa nguvu ili APIGWE ,Halafu anaua wanawake na watoto. Aisee iko shida sehemu kwa celebrumKwani mazayuni hawakumbuki walivyoingia 2006 kiliwakumba nini? kama huelewi, walitandikwa mpaka wakasalimu amri. h
Kqwa kukujuza tu, Lebanon mpaka basha wake zayuni, mmarekani alitoka mbio kwa kombora moja tu, pigo kali pigo takatifu mwaka 1983.
Ghaza kaingizwa kwa nguvu, ndipo alikuwa anatakiwa afike, akaingia kichwa kichwa, iliyobaki anauwa watoyto na wanawake tu, wakijidai kujitokeza wanabamizwa kila kukicha.
Kama huelewi kinachoendelea Ghaza, jonee:
View: https://youtu.be/iusXy8dyC0Q?si=_dBPh5RqAZ-v6_Si
Uongo wewe.Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.
Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.
Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Kwani kwenye vita watoto na wanawake sio watu mpaka wasiuliwe wanakufa mijusi kwenye vita sembuse wanawake na watoto. Uko misikitini jitaidini kuwakaataaa mashekhe wasiokuwa na elimu ya darasaniKwani mazayuni hawakumbuki walivyoingia 2006 kiliwakumba nini? kama huelewi, walitandikwa mpaka wakasalimu amri. h
Kqwa kukujuza tu, Lebanon mpaka basha wake zayuni, mmarekani alitoka mbio kwa kombora moja tu, pigo kali pigo takatifu mwaka 1983.
Ghaza kaingizwa kwa nguvu, ndipo alikuwa anatakiwa afike, akaingia kichwa kichwa, iliyobaki anauwa watoyto na wanawake tu, wakijidai kujitokeza wanabamizwa kila kukicha.
Kama huelewi kinachoendelea Ghaza, jonee:
View: https://youtu.be/iusXy8dyC0Q?si=_dBPh5RqAZ-v6_Si
Mwenyewe hapo ulichoandika unajiona mchambuziii umeandika cha maana kumbe💩💩💩 matupu bora shule zifunguliwe mrudi shuleKatika ulimwengu wa kijasusi, Vita inatengenezwa, mfano,