LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Muslim kila vita wakipigwa wanasema walishinda... sijui kwa comparison zipi... walipoteza kila kitu vita zote na wanadai walishinda

Kwamba

GAZA kaingizwa kwa nguvu ili APIGWE ,Halafu anaua wanawake na watoto. Aisee iko shida sehemu kwa celebrum
Hujauona ushindi wa Wapalestina mpaka sasa hivi kwa kuanza kuwatandika mazayuni?

Ulikuwa unaiongelea Ghaza na Palestiona kabla ya Oktoba 10?

Sasa kwa miezi 9 leo inaongelewa dunia nzima. Umoja wa mataifa yameshatolewa maazimio kibao ya nayohusiana na Palestina, mahakama zote za dunia zinaongelea mpaka leo hii zinaongelea Palestina na Ghaza.

mazayuni wanayukwa hiuko kaskazini na hezbollah, meli zao za kibiashara na meli za mabwana zao za kivita zinanyukwa na Wayemeni huko bahari nyekundu.

wote huo siyo ushindi wa Hamas?

Mbali ya vijana wa Hams kudinda kwa miezi 9 sasa, unajuwa walichokifanya jana Hamas, Hezbollah na Wayemeni? Au nikujuze?
 
Hiyo ni Lugha ya kitumwa! Kajifunze historia ya utumwa zbar, bagamoyo na pwani yote kuanzia mombasa mpaka mtwara
Utumwa unaosoma kwenye historia wakati upo mpaka leo?

Utumwa imebadilishwa majina tu lakini upo kijana.

Jiulize wewe huko pwqni hao watumwa waliletwa na nani? Na vipi wewe unaandika na kuitumia lugha ya kitumwa? Au siyo mstaarabu wewe?

Hapo sasa.
 
Hiyo ni Lugha ya kitumwa! Kajifunze historia ya utumwa zbar, bagamoyo na pwani yote kuanzia mombasa mpaka mtwara
Historia ya nani aliyefanya biashara ya utumwa na ushahidi wake unaipata ndani ya kanisa la Mkunazini kule Zanzibar.Kuna vigogo vya chuma mpaka leo wakristo walimokuwa wakiwafunga mababu zako na kuwakabidhi kwa wenzao wazungu.
 
Unaponijuza pia elewa kuwa kite do cha Kupigiwa Wanawake na Watoto kama mzee wa familia maana yake umeshindwa, kama kweli hilo jeshi lipo silitoke front waache kutumia human sheild
 
Wanapenda kuua lakiniwwpo mlio tu wasnogopa
 
Unaangalia sana movies kijana ,hapo ubongo wako umetafuta majibu ya kukupa furaha wewe maana ukweli huutaki
 
Yaani mama mzima na uzima wako unatumia lugha ya kihuni ndio tabu ya nyie wanawake wa kiswahili hata uwe na miaka 70 lakini huwezi kuacha lugha za kihuni.😧😧😧
 
Unaponijuza pia elewa kuwa kite do cha Kupigiwa Wanawake na Watoto kama mzee wa familia maana yake umeshindwa, kama kweli hilo jeshi lipo silitoke front waache kutumia human sheild
Hawana jeshi Palestina, hao ni vijana wadogo wanaojikusanya na kuwahenyesha madhalimu wenzio.
 
naweka alama apa nitarudi mkianza free lebanon wanawake wazee na watoto nk
 
Yaani mama mzima na uzima wako unatumia lugha ya kihuni ndio tabu ya nyie wanawake wa kiswahili hata uwe na miaka 70 lakini huwezi kuacha lugha za kihuni.😧😧😧
Lugha ya kihuni ndiyo ipi hiyo, nukuu. Au kijana huelewi Kiswahili?
 
Somo vizuri ulichoandika, hata mimi ni mzee tu kama wewe ila siwezi kutumia maneno ya kihuni namna hiyo.
Sijaliona neno la kihuni, yote hayo ni fikra zako tu. Hata "kichwa" na "ndogo" ni maneno y kawaida lakini ukiwa na kifra potofu yanaweza kuwa ni matusi.

Huwa sikisii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…