Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye Nguvu no MUNGU pekes. Nate ndiyr mwenye kuweza juyamaliza haya.Wakatoliki ndiyo watakao amua hatima ya hawa wayahudi,wakatoliki ndiyo wenye nguvu so mwenye nguvu atachagua urafiki au uadui
Watu wengi tulidanganywa zamani mkuu ndio maana wapo wanaona Israel ni Taifa Teule la Wakristo wakati si kweli wale ni wapinga Kristo na walipata laana ya kutawanyika na kuwa watumwa wa Waroma kwa sababu hiyo...Huwa sielewi ukristo na uislam kwenye mjadala huu huwa unatoka wapi
Tayari mtu kashapigwa mbona... Wapalestina saaa hivi wanakula makombora tu huko mapaka sasa zaidi ya wapalestina 250 wamesharipotiwa kufariki.... Angani ni mwendo wa makombora tu, huku Hamas wenyewe wakiteka waisraeliIsrael alichofanywa jana sijapenda.
Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Hatari sanaIsrael alichofanywa jana sijapenda.
Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Mungu aliwatoa utumwani na bado watajitengenezea sanamu za kujichongea..na bado Mungu aliwapenda.Huvi wewe hao Watahudi ambao hawataki hata jina la Yesu litajwe alipozaliwa unawaona wa maana sana?
Acha ushabiki maandazi, wombee palestine, hakuna mtu anayeingia Israel kutokea popote, wavamizi waliobaki wamezingirwa braza, maombi yako ni muhimu kwa wa Gaza kuliko huu umbea wakoKundi la wapiganaji wa HezboLlah wameitikia rasmi wito uliotolewa na viongozi wa kipalestina juu ya kuungana nao kuishambulia Israel.
Mapema leo makombora ya masafa marefu ya Hezbollah kutokea kaskazini yalirushwa kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel karibu na mashamba ya Bersheba.
Kwa upande mwengine Israel imekiri kuwa miongoni mwa askari wake waliouliwa ni mwenye cheo cha major na huku meya wa jimbo mmoja akiwa miongoni mwa waisrael hao waliokwishakufa.
Sambamba na hilo mapigano yanaendelea maeneo ya kusini ya Israel yanayopakana na Gaza huku wapalestina zaidi wakimiminika maeneo hayo.
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Hamas na wenzo wa Islamic jihad wameonekana wakimiliki na kuendesha magari ya kivita ya Humvee waliyoyateka kutoka jeshi la Israel.
View attachment 2775202
Hawana uwezo huo ingawa wanatamani kufanya hivyoAmri ni Moja Israel iwafyeke hao mabedui isibakuze hata panya mmoja.
Ifyeke mpaka migugo na sisimizi
Waristo wote wa Ulaya waliwakataa kwa kutomtabuwa Yesu na ubaguzi wao. Walifikia mpka akuuliwa million 6 na mkatoliki Hitler.Mungu aliwatoa utumwani na bado watajitengenezea sanamu za kujichongea..na bado Mungu aliwapenda.
Mimi ni nani niwachukie kwasababu wamelikataa jina LA Yes u?
Sio Kila siku mwizi upatia kuiba,inaweza ikapigwa piaWasije wakasema hatukuwaambia. Israel haina utani pale inapoguswa makalio.
Soon kuna watu wataomba poo.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mbona nyie mnaona waarabu "Miungu Watu" na hatusemiWewe nani zaidi ya kuwa ni muabudu mzungu tu.
Acha nongwa mwisho wa taifa la kimchongo la Israel umefika Palestine wamekuwa wakionewa sana na waislam kuuliwa na kuteswa kwenye ardhi yao, kuchukuliwa ardhi yao na maeneo ya Ibada ya kihistoria. Mungu awape nguvu Hamas watafanikiwa tu hakuna lisilowezekanaWasije wakasema hatukuwaambia. Israel haina utani pale inapoguswa makalio.
Soon kuna watu wataomba poo.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Vikundi vya kigaidi vifutiliwe Mbali!UGAIDI hauna nafasi kwenye Jamii zilizostaarabika