LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel alichofanywa jana sijapenda.

Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
 
Wakatoliki ndiyo watakao amua hatima ya hawa wayahudi,wakatoliki ndiyo wenye nguvu so mwenye nguvu atachagua urafiki au uadui
Mwenye Nguvu no MUNGU pekes. Nate ndiyr mwenye kuweza juyamaliza haya.

hivi sasa kila kila liendelealo ni kwa ajili ya utukufu wake.
 
Huwa sielewi ukristo na uislam kwenye mjadala huu huwa unatoka wapi
Watu wengi tulidanganywa zamani mkuu ndio maana wapo wanaona Israel ni Taifa Teule la Wakristo wakati si kweli wale ni wapinga Kristo na walipata laana ya kutawanyika na kuwa watumwa wa Waroma kwa sababu hiyo...
 
Israel alichofanywa jana sijapenda.

Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Tayari mtu kashapigwa mbona... Wapalestina saaa hivi wanakula makombora tu huko mapaka sasa zaidi ya wapalestina 250 wamesharipotiwa kufariki.... Angani ni mwendo wa makombora tu, huku Hamas wenyewe wakiteka waisraeli
 
Huvi wewe hao Watahudi ambao hawataki hata jina la Yesu litajwe alipozaliwa unawaona wa maana sana?
Mungu aliwatoa utumwani na bado watajitengenezea sanamu za kujichongea..na bado Mungu aliwapenda.

Mimi ni nani niwachukie kwasababu wamelikataa jina LA Yes u?
 
UGAIDI hauna nafasi kwenye Jamii zilizostaarabika
 
Acha ushabiki maandazi, wombee palestine, hakuna mtu anayeingia Israel kutokea popote, wavamizi waliobaki wamezingirwa braza, maombi yako ni muhimu kwa wa Gaza kuliko huu umbea wako
 
Mungu aliwatoa utumwani na bado watajitengenezea sanamu za kujichongea..na bado Mungu aliwapenda.

Mimi ni nani niwachukie kwasababu wamelikataa jina LA Yes u?
Waristo wote wa Ulaya waliwakataa kwa kutomtabuwa Yesu na ubaguzi wao. Walifikia mpka akuuliwa million 6 na mkatoliki Hitler.

Wewe nani zaidi ya kuwa ni muabudu mzungu tu.
 
Hii ni Noma Sana. Njia ya kumzuia adui yako asikushambulie ni kumpelekea Moto mkali Sana. Hiki ndiyo anakifanya Hamas na Hezbollah.
Changamoto ya Usalama Ukraine haijaisha, imeibuka changamoto nyingine. Ngoja tuone nchi za Magharibi kama ziweza kuwapanda farasi wawili.
 
Hamdan An Najjar, director of the Ministry of Interior of Hamas in Khan Younis has reportedly been killed in an airstrike targeting his house.
 
Wasije wakasema hatukuwaambia. Israel haina utani pale inapoguswa makalio.

Soon kuna watu wataomba poo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Acha nongwa mwisho wa taifa la kimchongo la Israel umefika Palestine wamekuwa wakionewa sana na waislam kuuliwa na kuteswa kwenye ardhi yao, kuchukuliwa ardhi yao na maeneo ya Ibada ya kihistoria. Mungu awape nguvu Hamas watafanikiwa tu hakuna lisilowezekana
 
Israel lilikuwa ni taifa teule ila baada ya kumkataa kristo walinyang'anywa huo uteule.
Na imetabiriwa siku za mwisho Israel atapigika sana na ndio itazaa vita kuu inayoitwa elmagadon.
Dunia itagawanyika!
Kwa sisi tunaomtumainia Kristo yote yapo wazi.
Kabla ya kristo kuja tena Duniani Israel lazima atazungukwa na kupigika na kutawanyika.
Inawezekana huu ni mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…