Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Hapana hayo sio maneno yangu ila nafuatilia tu news pande zoteKwahyo unataka kusema mkuu huyo askari huko misr ameona ajichukulie sheria mkononi kusapoti operation al aqsa?!.
tunza komenti yako usikilizie kifinyo watakachopewa hao magaidi wenzakoUnaongea ukiwa wapi?
Kitakachowakuta hao mayahudi hamtaamini, tena natamani sana nikaunganenao kuwasaidia, sasa wewe nenda kajichanganye ukawasaidie hao mayahudi kama nitawaacha
na vifo vya wapalestina vime fika vingapi bwana Hammaz?Israel kwa sasa vifo vyao vinafika idadi ya 400- Hebrew media
Hayo ya usawa na ustawi ya duni hukuyajua mlipokua mnachekelea jana, mkipigwa mnaanza kuibuka na misamiati ya kifisolofia, pigweni kwanza, hiyo Gaza inageuzwa kuwa shamba na haitokalika miaka 50 ijayo
Wairan walishasema hizo pesa watazitumia wenyewe sehem itakayo wafaa wao na sio kupangiwa itumike vp sababu pesa ni zao.Kwa ninavyojua hela waliyotoa Marekani ni ya Iran, ilikuwa ni frozen assets. Na hiyo hela ni kwa ajili ya humanitarian aid mfano kujenga hospital au barabara, sio ya kuchukua ukajenga nyumba za kifahari au silaha. Na Marekani inasimamia matumizi ya hela hiyo kupitia Benki Kuu ya Qatar ambayo ndio hela inapitia nadhani, Iran ikikosea masharti kwenye matumizi hela inarudishwa.
So Iran hawajapata access ya $6 billion kwa pamoja na hawajafund kwa kutumia hela hiyo. Since hata Trump hajawa Rais, Iran imekuwa inatoa silaha na fedha kwa makundi hasimu wa Israel
CC@Mk254Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
Wapalestina wanaona wameshafika kwao.Wanataka kuongeza mipaka ya Gaza iungane na Ukanda wa magharibi waliko wenzao.Najua ni ngumu kuamini lakini mpaka sasa Israel haijayarudisha maeneo yaliyo tekwa na Hamas tangu jana, mapigano makali yanaendelea huko kusini mwa Israel kati ya majeshi ya Israel na wapiganaji wa Hamas kuwania maeneo hayo.
Mimi nasema ianze harakaJeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
Netanyahu kawataka raia wa Gaza waondoke sasa sijui wataenda wapi. Karibia settlements zote za Gaza amewataka waondoke sijui wataenda Jordanna vifo vya wapalestina vime fika vingapi bwana Hammaz?
Ukiona hivyo wakati mwingine sio kosa lako ila yaweza kuwa ni tatizo la akili😂
ako kamji kana geuzwa Upside down (Vifusi tu) utaona wavaa kobaz wana lia lia hapa haki za bin adamNetanyahu kawataka raia wa Gaza waondoke sasa sijui wataenda wapi. Karibia settlements zote za Gaza amewataka waondoke sijui wataenda Jordan