LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel ihakikishe hakuna kinachosalia hapo Gaza wala palestina.

Nataka hata sisimizi asibaki anatambaa. Ua wote watoto wanawake wazee iwaue wote waanze upya
 
Senior Hezbollah official Hashem Safieddine tells Palestinian militants that "our guns and rockets are with you" - REU
 
Jeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
 
Ukiona hivyo wakati mwingine sio kosa lako ila yaweza kuwa ni tatizo la akili😂
Hayo ya usawa na ustawi ya duni hukuyajua mlipokua mnachekelea jana, mkipigwa mnaanza kuibuka na misamiati ya kifisolofia, pigweni kwanza, hiyo Gaza inageuzwa kuwa shamba na haitokalika miaka 50 ijayo
 
Kwa ninavyojua hela waliyotoa Marekani ni ya Iran, ilikuwa ni frozen assets. Na hiyo hela ni kwa ajili ya humanitarian aid mfano kujenga hospital au barabara, sio ya kuchukua ukajenga nyumba za kifahari au silaha. Na Marekani inasimamia matumizi ya hela hiyo kupitia Benki Kuu ya Qatar ambayo ndio hela inapitia nadhani, Iran ikikosea masharti kwenye matumizi hela inarudishwa.

So Iran hawajapata access ya $6 billion kwa pamoja na hawajafund kwa kutumia hela hiyo. Since hata Trump hajawa Rais, Iran imekuwa inatoa silaha na fedha kwa makundi hasimu wa Israel
Wairan walishasema hizo pesa watazitumia wenyewe sehem itakayo wafaa wao na sio kupangiwa itumike vp sababu pesa ni zao.
 
Najua ni ngumu kuamini lakini mpaka sasa Israel haijayarudisha maeneo yaliyo tekwa na Hamas tangu jana, mapigano makali yanaendelea huko kusini mwa Israel kati ya majeshi ya Israel na wapiganaji wa Hamas kuwania maeneo hayo.
Wapalestina wanaona wameshafika kwao.Wanataka kuongeza mipaka ya Gaza iungane na Ukanda wa magharibi waliko wenzao.
 
Jeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
Mimi nasema ianze haraka
 
Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).

Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!

Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??

Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.

Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.

Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.
Screenshot_2023-10-08-13-33-58-839_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-37-37-512_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-39-37-801_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-40-48-617_com.android.chrome.jpeg
 
Ukiona hivyo wakati mwingine sio kosa lako ila yaweza kuwa ni tatizo la akili😂

Ni mwendo wa mapicha tu, hamkutegemea kugeuziwa sio, sijui wavaa makobaz huwa mnafikiria kwa kutumia nini, sasa uko hapa unajaribu kuni-gaslight, haya pokea mapicha

2023-10-07T152556Z_1893571971_RC2RN3AFBZK1_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1696692632.jpg
 
Netanyahu kawataka raia wa Gaza waondoke sasa sijui wataenda wapi. Karibia settlements zote za Gaza amewataka waondoke sijui wataenda Jordan
ako kamji kana geuzwa Upside down (Vifusi tu) utaona wavaa kobaz wana lia lia hapa haki za bin adam
 
Back
Top Bottom