Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Mkuu hiyo ni kumaanisha wanazidi kusonga mbele au wanarudishwa nyuma?.Resistance fighters are now operating only 10 kilometers away from the West Bank.
Watenda dhambi wanaishi dunia moja na wasio watenda dhambi, cha ajabu nini hapo, au hujui kuwa wasioamini uwepo wapo duniani pamoja na wanaoamini Mungu?
Kuungana kwenye nini ?wazungu kule wanafanyishwa kazi wanalipwa unadhani kirahisi namna hiyo hela mzee ndio inafanya mambo yote yale, hakuna mtu anayemtenga mtu kisa dini ila culture yao wanaiheshimu au umeshau qatar walivyopiga biti kuhusu wageni walioenda world cup, na umeona maajabu na kufuru ya hela walioifanya , ukifika utasema sio jangwaSijitoe akili uarabuni bila kuungama na western countries ni afadhari hata na afrika,dubai ni uwekezaji wa mzungu ule kuifanya civilization arabia baada yakuonekana ujinga wa dini umewakaa na hawataki kuaacha licha ya kuwa wamepotoka,soon las vegas itahamia the emirate.
Ule upuuzi wa kua nakutenaga wengine kisa dini unaenda kuisha hapo middle east,wazungu sio wajinga.
Wakati mwingine kaa kimya na imani yao waache wafu wazikane.Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu
Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu
Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia
Hawamwamini Yesu
Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
Hawatakuelewa.Israel ni taifa la Mungu ambalo watu wake wameasi, ila Mungu wao anawavumilia pengine kuna siku watamrudia. kwa upande mwingine, mungu baali ndio yule aliyeshusha kitabu cha uongo kinachozalisha magaidi. baadi tangu enzi alikuwa na mahusiano na ushirikina na uchawi. Biblia ipo wazi.
Paza sauti kukemea uovu, hata kama uovu huo unafanywa na watu unaoamini katika imani yako kuwa ni "taifa teule"Wakati mwingine kaa kimya na imani yao waache wafu wazikane.
Huo ndo ukweli,jaribu kujisomea mzee. Jamaa ameelezea vizuri kabisa.Huu upotoshaji unaufanya kwa makusudi au ni ujinga? Kama ni ujinga basi umezidi mno.
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu
Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu
Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia
Hawamwamini Yesu
Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
Ni bora hata hayo maombi yako ungekuwa unayaelekeza kwa mababu zako kuliko kuombea watu washenzi kama hao waabuduo miungu kama BaalNimeambatanisha na neno " save" kwa ajili ya 61%, alafu Mungu hana ubaguzi, Biblia inasema anawapa baraka wema na waovu.
Ukraine kavamiwa ila hateki vibibi/vibabu vya kirusi, hateki vijana/mabinti wadogo wasiohusika na vita, haingii nyumba kwa nyumba kuua raia wasiokuwa na hatia bali anapambana na vikosi vya kirusi na miundombinu Yao, huoni utofauti?Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
*Mada imeanza jamaa mmoja kudai Israel ilipiga nchi tano za kiaarabu na kuchukua maeneo yao .Hata hueleweki unachokitetea, mara ukubali mara upinge ila sishangai maana ndio hulka ya wafuasi wengi wa munyaazi mungu
Aisee nimeona air strike nyingi mpk kwenye maboti ya hamas yamegipwa kibao daaa.Remains of a car targeted by an IDF airstrike.
Asante kwa mchango wakoHapo ndipo hizi imani za dini zimefanikiwa,yani kuwafanya wafuasi wake kuwa ma ndezi na mazombi.
Halafu ndio liwe taifa teule? Si kweliWana kitabu Chao cha kichawi balaa wanachokiamini kinaitwa Kabbalah, kitabu ambacho ndio chimbuko la uchawi na ulozi wa wazungu.
Mbona serikali ya Israel yenyewe haiungi mkono huo ufirauni (tena kwa mujibu wa post yako)?Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).
Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!
Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??
Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.
Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.
Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440